Hashimu Rungwe: Magufuli alikuwa anaimba viwanda lakini hakujenga hata kimoja

We jamaa mweupe kabisa! Hujui lolote kwenye viwanda umekalia kuimba mapambio tu na sound za Mwendazake.

Five star printers ya Masumini ipo kitambo kabla ya Magu. Jambo Food ya Salim Mbuzi wa Shinyanga ipo tangu wakati wa Kikwete. Huyo gas security service ndio nini sasa? Hakuna kiwanda kinaenda kwa jina hilo!
 
Hata kiwanda cha tiles Mkuranga, JK alizindua kwanza
Daraja la Tanzanite Kikwete alizindua ujenzi na yeye akaja kuzindua,

Kuna baadhi ya barabara Kikwete alizijenga na kuzindua na yeye akajakuzifungua!

Jambo ni madon WA siku nyingi Shinyanga!
 
Kwamba hakuna kiwanda kinachotoa services za gas na security? 🙄
Hatare.
 
Huyu Hashimu alinikosha sana wakati fulani wa awamu ya uongozi ulopita,

Alisuta mtu yule alisema ananyoosha nchi. [emoji14][emoji14][emoji14]

Akauliza ; Kwani nchi imepindia wapi? [emoji2369][emoji2369]

Akauliza imepinda Kwa ubungo au kariakoo?


Akasema mbona kariakoo inang’ara?!

Mwendokasi Je ?!

Huyu mzee alijua kunikosha sana wakati ule [emoji3][emoji3][emoji3]
 
Akasema;

“ nasikia kuna watu wanatamba na kujisifu eti wananunua ndege,

Kwani kununua ndege kuna ugumu gani ? Si ni kuamua kuchukua hela hazina/bot na kununua ?

Kwani marais walopita walishindwa kufanya hivyo ?

Isipokuwa walikuwa wanazingatia vipaombele kwanza.

[emoji1787][emoji1787]

Huyu mzee nampendaga sana!

Yani anajua kuwakilisha!

Popote ulipo Mwenyezi Mungu azidi kukuweka @ Hashim Rungwe
 
Aliongelea kuona viwanda sio kujua taarifa za hivyo viwanda. Ajue taarifa za uhakika za hivyo viwanda kwani alikuwa anataka kuvinunua?
Akili yako yote imehamia kwenye ubwabwa wa huyo jamaa, si bure!
Kwani akishaona what next?
 
Muonyesheni viwanda vilivyojengwa na serikali ya Magufuli, just simple yeye hana tatizo wekeni orodha na mahali vilipo
 
Mwaka 2018 tarehe 02 mei Hayati Magufuli alifungua kiwanda kikubwa Sana kule Iringa na siku hiyo nilikuwepo ,nimekupa mfano hai kabisa. Haya huyo Babu anaposema uongo anamaanisha nini?
Mkuu kiwanda gani hicho kikubwa kilichofunguliwa Mkoa wa Iringa?
Acha uwongo na kushabikia vitu visivyo vya kweli
 
Legacy hailindwi,madaraja sijui sgr sio legacy
 
Yaani huto tuviwanda twa juice ndio kiwanda kikubwa? Una akili timamu?

Kama hivyo ni viwanda vikubwa na hivi tuviitaje?👇





 
Wajinga kama wewe na huyo uliyemtaja ndio mnaona hao ni WA maana..

Uko na lundo la wajinga na maskini utapataje shida?

Nyerere wako ndie alikuwa anatoa elimu kwa wachache Ili wengi wawe wajinga iwe rahisi kuwatawala..

Ndivyo yule poyoyo nae alikuwa anafanya hivyo,yeye akaenda mbali zaidi kuwafukafisha,stupid kabisa Bora limejifia huko.
 
Makasiriko ya Nini we mzee? Si uoneshe kiwanda basi hata kimoja kwa miaka hiyo mitano?
 
Yule mtu wao alikuwa taahira Sana,alikwenda Iringa eti kuzindua kiwanda ukiona sasa wala sio kiwanda bali ni incubators za kutotoshelea mayai na kulea vifaranga..

Kampuni ilikuwepo miaka mingi..Tajiri yupi ambae aliingiza pesa kipindi cha Dhalimu,hajipendi?

Ona hapa uwekezaji ulivyoanguka kipindi chake na Sasa Hali ilivyo 👇

 
Hivi na mahakama ya mafisadi iliundwa kweli!!
 
Viwanda outdated havifufuliwi bali vinajengwa upya wewe tumbili..

Vipuri vya miaka ya 60s utavipata wapi?

Ndio maana yule mtu wenu alienda Morogoro eti akaanza kumbwatukia Abood kwamba hajafufua viwanda toka kapewa..

Hivyo viwanda vya zamani vikivyokufa ni kama unapewa plot tena inayokuongezea fixed costs kwa kuanza kufumua kila kitu Ili uweke structure mpya..

Ni better ukachukua eneo virgin.
 
Mwanza Kiwanda cha dhahabu.
Labda kama alienda kuweka Jiwe la msingi ila Samia ndio alizindua hicho kiwanda.

Kahama na Kigamboni kwa Taifa gas ndio niliona anazindua mitambo ya kujaza gas kwenye mitungu na storage zake eti ndio viwanda 😆😆

 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…