Hashimu Rungwe: Magufuli alikuwa anaimba viwanda lakini hakujenga hata kimoja

Mtu yuko huko mpwapwa atajua kuwa mkoa wa pwani kuna viwanda vingi sana vingi vimejengwa wakati wa JPM wanakalia sasa uchwara za huyo babu!
Hivyo alivyo vitaja vyote Marehemu kavikuta,vingine kaviua
 
Ni ukweli mtupu anayembishia aoneshe hicho kiwanda
 
Hivyo alivyo vitaja vyote Marehemu kavikuta,vingine kaviua
Wewe wadanganye ambao hawajui! Hakuna kiwanda kimekufa wakati wa Magufuli hata kiwanda cha kuzalisha mita za umeme kimeanza kazi 2018 kipo hapo Pwani! Wawekezaji uchwara ndo walikimbia!
 
Saizi vipi kuna hela? Na huyo bibi yenu? Katangaza ongezeko la mshahara subirini July ndo mtapata majibu!
Uchumi wa kati we unakusaidia Nini wakati ajira hamna Pesa hamna Ni Upuuzi kusifu ujinga
 
Yaani Mzee Rungwe naomba apewe ulinzi hoja yake hiko na mashiko.
 
To be honest Hashim rungwe you deserve s you deserve the awardee over
 
Jiwe halijawahi kujenga kiwanda hata siku moja, zaidi ya kuwabimbilikia wenzake na kuwavunja miguu.
 
Wewe wadanganye ambao hawajui! Hakuna kiwanda kimekufa wakati wa Magufuli hata kiwanda cha kuzalisha mita za umeme kimeanza kazi 2018 kipo hapo Pwani! Wawekezaji uchwara ndo walikimbia!
Rhino cement Mkuranga (kisemvule) pale limebaki gofu kimefungwa toka 2018 mpaka muda huu.
 
Kuweka maoni yake hadharani ndio kudhalilisha wazee wenzake!. Uhuru wa demokrasia una gharama zake na mojawapo ni hii ya kuvumilia kusikia kile usichokipenda.
 
Kwenye hii comment sijaona mahali umeonesha kiwanda alichojenga Magufuli. Wakati ule tuliambiwa vimejengwa viwanda 3000, viko wapi?
Si mliambiwa hata fundi cherehani Khamis ni kiwanda au mnajisahaulisha? 😛
 
Kiufupi ni kwamba Magufuli aliwatengenezea umasikini mkubwa wananchi,

Alichofanikisha kwa 100% ni kuwaruhusu machinga wapange bidhaa barabarani na kwenye round about za miji

Alifeli sana
Na alofanya hivyo ili aendeleee kuwaita wanyonge. Maana bila neno wanyonge alikua hana cha maana cha kuongea.
 
Wajinga ninyi.
Kusema ukweli ndio kujidhalilisha?
Magufuli alikuwa akitukana hadharani mavi yenu, pamoja na madudu mengi ya kishamba , kuyasena hadharani ni kujidhalilisha?
Sasa bado CCM kuukana utawala wa Magufuli na kuainisha mapungufu yake kitaifa.
 
Mwaka 2018 tarehe 02 mei Hayati Magufuli alifungua kiwanda kikubwa Sana kule Iringa na siku hiyo nilikuwepo ,nimekupa mfano hai kabisa. Haya huyo Babu anaposema uongo anamaanisha nini?
Kinaitwaje....?
 
TISS amejaza WASUKUMA balaa, nasikia ilifika kipindi akikutana nao ikulu wanaongea kilugha chao. Yaani mama asafishe hizo idara ziwe kama zamani.
Usafishaji mama kauanza muda Sana. Hata wale wahutu aliowakodisha toka Burundi ili wamlinde mama kawatimua
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…