Hashimu Rungwe: Magufuli alikuwa anaimba viwanda lakini hakujenga hata kimoja

Rwandan-based Smartphone Factory

Rwanda's President Paul Kagame inaugurated what is being described as Africa's "first high tech smartphone factory" in the country's capital Kigali.
Mara Phones opened its $24 million smartphone factory in Kigali, Rwanda on October 7, 2019.
President Kagame hailed the launch as another breakthrough for development in Rwanda, which has enjoyed rapid economic growth in recent years and gained a reputation as a hub of innovation.

The factory has over 200 employees and has the capacity to produce 1,200 smartphones daily.







 
Viwanda vingi Sana vimejengwa mkuranga mfano Rhino cement, tiles, kiwanda cha nyama, kiwanda cha matunda cha Azam, we unaishi mkoa gani?
Sasa hivyo ndiyo vimejengwa na serikali ya jiwe?
 
Alisema inajenga siyo imejenga, mnamponda marehemu wakati hata nyinyi kiswahili kinawapiga chenga.Hili swali aulizwe mama viko wapi viwanda vilivyokuwa vinajengwa na marehemu?
Alikua anazindua nn Sasa Kama anajenga
 

Hashimu Rungwe, Hata sasa mungu asipoingilia Kati tunaelekea kupata matatizo makubwa sana.​

 
Rhino cement ni kiwanda kilikuwapo tangu 2013 au 2014.

Usimhusushe Azam na sera zenu za viwanda FAKE kwani yeye yupo kwenye industry kabla hata Magufuli hajapata degree yake ya kwanza UDSM
Jiwe alikuwa mhuni. Alikuwa anazindua hata miradi iliyokwisha zinduliwa kabla. Mfano alizindua mradi wa mabasi yaendayo kasi jijini DSM wakati rais Kikwete aliuzindua kabla
 
Rungwe kwa vile ni wakili basi unajua hawezi kuwa mpumbavu! Huyo alitaka kuwa Rais kwa kuahidi ubwabwa! Nyinyi mnapenda sana kuabudu watu kisa anahela au elimu! Rungwe kwenye kundi la wazee wapumbavu hawezi kukosekana kwa kuwa hana maarifa ana elimu tu! The application of knowledge is power! Huyo hana hiyo Sifa ya knowledge application ndo maana anazungumza ujinga na mpumbavu!
 
Nataka kwenda kinyume nae..ila wanachojibu huku vijana wa lumumba..ni dhahiri kwamba ni kwel hakujenga kiwanda hata kimoja....wao hawataji hicho kiwanda zaid ya kumtukana mzee wa watu
 
Mwaka 2018 tarehe 02 mei Hayati Magufuli alifungua kiwanda kikubwa Sana kule Iringa na siku hiyo nilikuwepo ,nimekupa mfano hai kabisa. Haya huyo Babu anaposema uongo anamaanisha nini?
Cha serikali kwani, mbona hata Moro Kuna viwanda vitatu alifungua, Cha mchele, choroko na sigara,. Vya wawekezaji, wahindi.
 
Lete picha za kikwete akizindua mradi wa mabasi ya mwendo kasi! Huyo zungukuku wako hana lolote!,,,,,
 
Ta Taja hivyo viwanda acha blaa blaa
 
Onyesha kiwanda cha Magufuli acha kujizungusha
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…