Hasira baada ya Quran kuchomwa nje ya msikiti Sweden

Soma Bible vizuri ,Nabii Daudi (Peace be upon him ) kapigana vita nyingi sana na hata ndani ya bible kuna vita nyingi sana za kidini zimezungumzwa.
Daudi hakuwahi kuwa NABII πŸ˜†πŸ˜†πŸ˜†
 
Halafu Sauli akachukua madem na mifugo🀣🀣

unajua kilichomtokea Sauli?? Soma sura nzima
Acha kuokoteza vijimistari kujifariji.

Unajua ugomvi wa Waamaleki na Israel /Yuda?
Kasome halafu njoo yujadili
Hizo ni chai .
 
N

Itafutie sehem Daudi alitoa unabii.
Kila mtu abaki anavyoamini mimi nitaamini kama Nabii wa Allah wewe baki unavyoamini ,content yangu ni kwamba mapigano katika bible yapo mengi na vita vya kumpigania Mungu huo ndio ulikuwa msingi wa mjadala sasa mmeikuza hoja ya Unabii na kuiacha hiyo.
 
Basi elewa DAUDI hajawahi kuwa NABII
 
Kuna watu akili hamna kabisa nasi kama hivyo mahekalu Yerusalem yasingebomolewa na wahuni tu na huyo mnayemuita Yesu asipigwa misumari ya nguvu na Makanisa yasingeharibiwa na kuibiwa ,watu wema wasingekufa.

Sijui unaongelea nini lakini huwezi thibitisha allah yupo au yesu yupo ni stori za vijiweni
Thibitisha hao uliowataja hapo juu wapo?
 
Sijui unaongelea nini lakini huwezi thibitisha allah yupo au yesu yupo ni stori za vijiweni
Thibitisha hao uliowataja hapo juu wapo?
Huo muda wa kujadili hayo mimi sina , majadiliano ya kuthibisha Allah yupo huwezi kunikuta napoteza muda wangu kujadilina na mtu haswa akiwa amekuja kwa gia ya ubishi na sio kujifunza na kuelewa.
 
Daudi yupi alikuwa nabii wa Alah?

Nyie watu nyie...[emoji1787]

Nyie ndio mnasemaga Yesu alikuwa nabii wa Alah...Yaani kuna vitu hata kuvisema wewe mwenyewe unaona haviji kabisa.

Alah na manabii wa Israel wapi na wapi???
 
Huo muda wa kujadili hayo mimi sina , majadiliano ya kuthibisha Allah yupo huwezi kunikuta napoteza muda wangu kujadilina na mtu haswa akiwa amekuja kwa gia ya ubishi na sio kujifunza na kuelewa.

sasa ulini quote ukisema mambo ya yesu nilikuambia kuhusu yesu mimi?
Yesu au Allah hayupo na huwezi thibitisha.
Hata mimi sibishani baki na stori zako.ila usniletee stori za allah au yesu sababu havipo ni stori
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] futuhi zako tafuta kwa kupelekaaa, sio hapa JF lol
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] unachekeshaa kweliiii.
 
Daudi yupi alikuwa nabii wa Alah?

Nyie watu nyie...[emoji1787]

Nyie ndio mnasemaga Yesu alikuwa nabii wa Alah...Yaani kuna vitu hata kuvisema wewe mwenyewe unaona haviji kabisa.

Alah na manabii wa Israel wapi na wapi???
WaIsrseli sio wanadamamu na viumbe wale mpaka uwezekano wa kuwepo Nabii wake ukosekane ? sio yeye tu mbona wengi kutokea Israeli ni Mnabii wake mfanao Musa ,Harun ,Suleyman nk

Kuona ajabu ni wewe tu wengine tunaona kawaida tu na sio katika majambo yasiyowezekana.
 
Childhood mate, in African countries the religion is an opium that has massively improved people to have insanities...[emoji16]

Sent from my CPH2387 using JamiiForums mobile app
 
Musa, Harun na Suleiman ni manabii wa nani? Alah?

Nikikuambia unithibitishie UWEPO wa Mungu Alah kabla ya Mohamad katika taifa la Israel HUTAWEZA kuthibitisha... na hakuna hata mmoja wenu anayeweza.

Musa, Harun na Suleiman Mungu wao anajulikana. Anaitwa YAHWEH..Mungu wa Israel...na ndiye Mungu wa Waisrael mpaka leo.

Alah nabii/mtume wake anajulikana...anaitwa Mohamad wa Meca.

Acheni janja janja.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…