Hasira baada ya Quran kuchomwa nje ya msikiti Sweden

Tatizo akili mtu wangu.
 
Nafikiri kiaina ujumbe unawafikia maustadhi ambao huamini kwenye hicho kitabu na kujiaminisha atakayekidharau ataathirika, jamaa kafanya na hamna chochote kilimtokea, tena mzawa wa huko huko Iraq kwenye dini hiyo.

Sasa Mswahili wa kwa Mtongole endelea kujipa mizuka na mihemko....
 
Huyo Balozi wa Morocco nchini Sweden, kosa lake ni lipi?.
Kumtoa baloz sio kumhukum baloz ila ni kuonesha umavunja uhusiano na nchi husika , sasa swala la dini ni moja kati ya mambo ya ushirikiano baina ya Morocco vs Sweden , hawa waarab ndo wanapofer , MIHEMKO MING SANA
 
Aliyechana kitabu ni Mwarabu toka huko Dini ilikotokea!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…