Hasira baada ya Quran kuchomwa nje ya msikiti Sweden

Hili nalo linthibitisha allah hayupo ni kitabu tu cha stori kama cha ngoswe penzi kitovu cha uzembe.
Kuna watu akili hamna kabisa nasi kama hivyo mahekalu Yerusalem yasingebomolewa na wahuni tu na huyo mnayemuita Yesu asipigwa misumari ya nguvu na Makanisa yasingeharibiwa na kuibiwa ,watu wema wasingekufa.
 
Ni muda sasa umefika wawaache wafanye watakavyo soon watachoka kuichokonoa dini ya watu. Biblia tele zinachanwa na kuchomwa moto na watu hawapigi kelele mpaka wachanaji wanajiona wajinga
Kila mtu yuko tofauti jinsi anavyoreact kutokana na sababu mbalimbali, kuna mwengine ukitukania Wazzi wake ni ugomvi mkubwa ila mwengine anaona kawaida.

Mwengine mtoto wake akiwekwa mimba na wahuni au akiibowa hana haja ya kuchukua hatua kwa wahusika anasamehe tu na wengine hawapo hivyo.Sasa usilazimishe wote wawe kama unavyotaka wewe kisa wewe unaona kawaida kwa uono wako.

Muhimu ni kuheshimiana kila mtu aheshimu cha mwenzie kwani hakuna ulazima wa kuanzisha vuguvugu zitakazo pelekea chuki ,fujo na uhasama.
 
Umejuaje kama huyo mtu sio chizi ?

Na angekuwa kafanya hivyo kwenye nchi ya Waislamu wangemuuwa vibaya sana kwa kumgombania.

Inawezekana kabisa kati ya wachoma Qurani, na Waislamu, kuna kundi moja ni la Machizi.
 
Mm siungi mkono kitendo hicho hiyo ni dharau juu ya dini. Kwani huyo kijana ni dini gani?
 
Ili kukwepa hili la uchomaji Quran watakuja na mpango wa kutozichapisha tena au kutozipeleka tena huko Sweden walivyo na akili duni.
 
Bahati nzuri mchomaji ni mzaliwa wa kulekule wenye dini yao (IRAQ) na jina ni la dini ileile, sijui ingekuwaje kama angekuwa mzaliwa wa Sweden na mgalatia, nadhani si tu kumuondosha balozi wangevunja na jengo lenyewe walivyopumbazwa na hii dini aliyokuja nayo Muhamad (s.a.w).
 
Soma Bible vizuri ,Nabii Daudi (Peace be upon him ) kapigana vita nyingi sana na hata ndani ya bible kuna vita nyingi sana za kidini zimezungumzwa.
Biblia haina mtu anayeitwa Nabii Daudi... Ina MFALME Daudi.

Daudi hajawahi kuwa Nabii...
Hata ukienda Israel kwa wenye Daudi wao, ukawauliza Daudi alikuwa nani, watakwambia alikuwa Mfalme...sio nabii.

Nabii Daudi ni fiction character wa Mohamad aliyeibuliwa juzi karne ya 7
 
Angekuwa mimi wangeniua 🀣🀣🀣
 
 
Mkuu nimependa maoni yako🀭🀭
 
Define DINI.🀣🀣🀣

JIBUπŸ˜€ Dini ni njia ya mwadam kumtafuta Mungu

Kristo alisemaπŸ‘‡πŸ»πŸ‘‡πŸ»πŸ‘‡πŸ»πŸ‘‡πŸ»πŸ‘‡πŸ»

Yohana 14:6​

6 Yesu akawaambia, β€œMimi ndiye Njia na Kweli na Uzima; mtu hawezi kufika kwa Baba bila kupitia kwangu.​

 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…