Hasira ya Mungu imeshuka juu ya LOS ANGELES, inateketea Kama Sodoma Na Gomora

Hasira ya Mungu imeshuka juu ya LOS ANGELES, inateketea Kama Sodoma Na Gomora

Imani za hovyo na muafrika 🤣🤣🤣


Hapo nafsi yako imesuuzika balaaahh🤗🤗🤗

Hivi kwa akili za kawaida tu Marekani ni ya kutoa ndege mbili kuzima moto??.

Hivi marekani ni ya kuempty bwawa ambalo ndo reservour ya kutunzia maji ya zimamoto???

Kwanini kampuni kubwa ya bima miezi 3 kabla ya hili tukio ilitoa kipengele cha kulipa fidia ya nyumba ikiungua moto???

LA ni sehemu wanapokaa macelebrity na viongozi na matajiri,sio sehemu ya mchezomchezo mzee. Watu wameplan mambo na yakapangika.

Akili iliyotumika hapo ni akili kubwa mzee watu wanataka kujenga LA SMART CITY wewe unatuletea ngonjera zenu mlizosimuliwa na manabii feki huko mnapoenda kudanganywa😀😀😀
 
insurance policy za los angeles zina kipengele cha force majeure, hawakulipi kama ni natural disaster iwe moto, floods, etc ndio maana unaona vilio vimekuwa vingi
Ila kwa namna moja ama nyengine nakubaliana na watu wa bima.

"Natural disaster" lazima kutakuwa na massive financial losses ambazo itawabidi wazilipie na kwao hiyo itakuwa ni biashara isiyo na faida.

Kwa hali ya namna hii serikali inabidi iingilie kati ili iweze kuwawezesha na kuwasaidia raia wake kwenye majanga kama haya.
 
Mimi siwatishi Wala nini, Vyombo vya habari vitawadanganya kua Ni Mabadiliko ya Hali ya hewa, Mara Moto usiojulikana chanzo ,mara vile !!.

Usiombe Mungu akasirike alafu akuonyeshe waziwazi kua amekasirika na aamue kukutumia wewe kama mfano.

Los Angeles, Jiji maarufu ambalo Mashoga na wooote wa LGBTQ waliishi huko wakimchukia Mungu Sasa wamefikwa.

Soma Pia: Marekani: Moto Mkali Wateketeza Ekari 3,000 na Kuwafurusha Maelfu ya Watu Los Angeles

Ni Moto ambao Taifa la Marekan Licha ya Ubabe wake, Teknolojia yake isoshikika , Uchumi mkubwa , Jeshi kubwa wameshindwa kuuzima , na wanashindwa Kwa sababu ni Moto ambao sio KAZI ya mwanadamu ni MUNGU.


View attachment 3197895
.
View attachment 3197897
.
View attachment 3197898
Ujinga unapokutana na Njaa = Wehu
Unahitaji msaada haraka sana binti lasivyo utaokota makopo muda si mrefu.
 
Imani za hovyo na muafrika 🤣🤣🤣


Hapo nafsi yako imesuuzika balaaahh🤗🤗🤗

Hivi kwa akili za kawaida tu Marekani ni ya kutoa ndege mbili kuzima moto??.

Hivi marekani ni ya kuempty bwawa ambalo ndo reservour ya kutunzia maji ya zimamoto???

Kwanini kampuni kubwa ya bima miezi 3 kabla ya hili tukio ilitoa kipengele cha kulipa fidia ya nyumba ikiungua moto???

LA ni sehemu wanapokaa macelebrity na viongozi na matajiri,sio sehemu ya mchezomchezo mzee. Watu wameplan mambo na yakapangika.

Akili iliyotumika hapo ni akili kubwa mzee watu wanataka kujenga LA SMART CITY wewe unatuletea ngonjera zenu mlizosimuliwa na manabii feki huko mnapoenda kudanganywa😀😀😀
Haya bwana mkubwa unaojua mipango ya california kuliko matycoon wanaoishi california ingawa wewe upo zako ileje unachemsha kande zako ule
 
Yaweza kuwa ni kweli, chukulia mfano hapa kwetu: hivi Dar inaweza kuteketea kwa moto kama vile mji wote umejengwa kwa nyumba za nyasi?
Chanzo chochote hakiwezi kuteketeza hata nyumba mbili kabla haujadhibitiwa.
Elimu Elimu Elimu
Wenzetu wana mtandao wa mabomba ya gesi nchi nzima na hayo ndo huleta madhara katika nyakati kama hizo za majanga ya moto.
 
Mbona ni suala la akili tu hata kama kiroho haupo vizuri

Hilo Jiji lilijengwa Kwa kuzingatia majanga kama haya .

Wameshindwa Kwa sababu alouanzisha ndio Mwanzo na Mwisho .
Sawa ustaadhi, umeshinda. Na Turkey bilashaka wanafir.ana sana mpaka akawapelekea janga la tetemeko...bila kusahau Saudia alivyowapelekea mafuriko.
 
Sodoma na Gomora viumbe walikufa kama wote, huko ni maafa ya kuuza vitu. Sasa hasira ya Mungu ni dhidi ya maghorofa na mali pekee??

Kwani hawezi kuwaanganiza hao mapunga pekee?? Vipi wale watu wema au hilo jiji likikaliwa na waovu tupu?.

Mengine mnamsingizia Mungu tu.
 
Huko ndoa za mashonga ni halali.Huko shoga analindwa anapetipetiwa watumishi wa mungu wanaoa wanaume wenzao. Hayo niyasikia kwa muhubiri flani wa huko usa mwaka jana alikuwa anasema hasira ya bwana iko karibu kuwashukia kwenye hii miji hasa las angeles.

Mimi sio muumini sana wa majanga kama haya kumusisha mungu huwa niko kinyume kabisa maana majusi tumeshudia vibunga vya kufa mtu kule kule magharibi
Ni kweli kabisa, hata Maimaam wa misikiti ni mashoga na Allah amaabudiwa kama kawaida!
Screenshot_20250111_104953_Google.jpg
 
Muafrika katika kila tatizo hukimbilia kwenye comfort zone na hataki kuipa nafasi Elimu & Nature.

Mafuriko, volcano, vimbunga, ukame, tsunami, matetemeko, n.k ni majanga Asilia ambayo yamekuwepo miaka maelfu iliyopita.

Kuna wakati inafaa kutumia pia ufahamu na maarifa kujenga hoja.

Tukiendelea ku rely kwenye imani, basi hatutaweza hata kukabiliana na magonjwa kama kipindu pindu, malaria, UKIMWI n.k kwa kuamini ni mapigo ya MUNGU ilihali namna ya kuyaepuka na kuyatokomeza ipo.
 
Back
Top Bottom