Hasira ya Mungu imeshuka juu ya LOS ANGELES, inateketea Kama Sodoma Na Gomora

Hasira ya Mungu imeshuka juu ya LOS ANGELES, inateketea Kama Sodoma Na Gomora

Huo mji ni lost angels, malaika waliopotea, sasa sijui ndio kama wale waliotupwa chini pamoja na lusifa au hawa ni wengine. Ni mji mchafu kimaadili ya kiroho. Labda ndio sababu unachomwa
HUU NI UONGO SASA.

NI KWELI HUO MOTO SIO WA KAWAIDA,ILA HII TAFSIRI YAKO YA JINA NI UONGO MTUPU,KWANZA UMEKOSEA KUANDIKA LOST ANGELS.
 
Wadanganye watoto wenzio,
Hiyo inaitwa SMART LA CITY PROJECT yaani Los Angeles inatatakiwa ifumuliwe upya haijalishi itagharimu mali na maisha ya watu kiasi gani lkn lazima itekelezwe na lengo la hii project ni kupata mji mpya wa kidigital.
Haya mambo mbona hata kwenye The Simpsons yameelezewa bila kufichwa
 
Asiyeamini kama huyu ni mungu hawezi kuamini chocjote kwenye maisha yake , acha waisome namba wengi wao walichanga hadi hela ili gaza watoto wauliwe leo wao mungu kawapa dozi kidogo tu wanalia kama watoto, karma never miss the address
Wewe ni muongo kwani Mungu kasema chochote juu ya taifa lake Marekani,? Leta ushahidi,huko uarabuni Irani juzi wamekufa watu 3000 kwa tetemeko la ardhi mbona hukuleta upuuzi wake Leo kufa wamarekani 10 unaleta chuki zako😄tambua Dua la Allah halimkuti Marekani kamwe
 
Ewe mji ujiitae mwenyewe kwa jina la malaika hukumu yako imekufikia,
kama kazi za ajabu za Mungu zilizofanywa kwa kwako,zingelifanywa kwa sodoma na gomora hakika miji io ingalikuwepo mpaka leo. Umekuwa maskani ya kila uovu na uchafu, na hivyo ndivyo hukumu yako inavyokufikia.
 
Mungu yupo ila anafanya kila jambo analotaka kwa wakati wake hapangiwi, yeye ndio anyejua kesho yetu
Kwenye quran amesema , wanapanga mipango yao na yeye mungu anapanga na yeye ndio best of planners
Wamakaru wamakarallahu wallahu khayrul maakiriin.

Wanapanga mipango naye Mungu ana mipango, na Mungu ni mbora wa kupanga mipango.

Watu wa Ghazza walikuwa wanasema "Hasbiyallahu wa niimal waakili"..

Walikuwa wakiyataja maneno yaleyale aliyokuwa akiyataja baba wa imani Nabii Ibrahim A.S.
 
Huo mji ni lost angels, malaika waliopotea, sasa sijui ndio kama wale waliotupwa chini pamoja na lusifa au hawa ni wengine. Ni mji mchafu kimaadili ya kiroho. Labda ndio sababu unachomwa
Haya mahubiri ya jamaa mmoja aliitwa Wiliam Branham kama sijasahau, alisha tabiri Los Angeles siku moja itamezwa na bahari na itakuwa chini ya bahari, miaka ya 1965...

California ndio state yenye LGBT wengi zaidi kuliko states zote USA....
 
Wewe ni muongo kwani Mungu kasema chochote juu ya taifa lake Marekani,? Leta ushahidi,huko uarabuni Irani juzi wamekufa watu 3000 kwa tetemeko la ardhi mbona hukuleta upuuzi wake Leo kufa wamarekani 10 unaleta chuki zako😄tambua Dua la Allah halimkuti Marekani kamwe
ACha wahangaike na moto wa allah kwanza , wewe endelea kuabudu wazungu, kwa wakristo tumeshawazoea huwa rahisi sana kudanganyika hamnaga imani thabiti ndio maana hata yesu mtume wa mungu alivyoonyesha miujiza mkaamua kumuabudu na kumuita yeye ni mungu
Leo kina kiboko ya wachawi na hao matapeli mnawaita manabii wamejua ujinga wenu na wao wanapita umo umo
 
Mungu Hana ubavu wa kunileta duniani mkuu!
Hahaha! Kiburi chako kinanikumbusha watu wa Nabii Nuhu alivyotumwa kwa watu wake awapatie ujumbe kutoka kwa Mungu. Qur'an inanukuu:

Wakamwambia Nabii Nuhu:"Kwani wewe waliyokufuata ni watu gani? Ni watu wadhalilifu, watu hohehahe! Hatujaona hata businessman mmoja kakafuata wewe! Mtu tajiri na pesa zake kaamua kukufuata, ingekuwa hivyo, angalau ungetushtua juu ya utume wako!"

Wakamdharau na hawakuishia hapo bali walimwambia Nuhu na Qur'an inanukuu vilevile:

"Hakuwa huyu Nuhu isipokuwa ni mtu tu kama sisi. Lengo lake kutangaza utume anataka kujifanya yeye apate cheo na ubora juu yetu."

"Huyo ni mtu tena kama mfano wenu ninyi. Kama Mungu kweli alikuwa anataka kutuletea Mtume, basi huyo Mtume asingekuwa ni mwanadamu, angekuwa ni malaika."

Hii dunia yupo aliyeifanya iwepo! Wanasayansi wenyewe wanaochunguza anga wakiangalia kanuni na nidhamu za maumbile ya huko namna yanavyokwenda wanakubaliana bila shaka yupo anayesanifu hii hali!

Halikadhalika, bila shaka yupo aliyekuleta. Kuwa na akiba, usiwe na kiburi. Ila ukisema potelea mbali na ukaendelea na utaraibu wako nayo si mbaya! Kwani potelea mbali nayo ni njia utakuwa umeichagua mwenyewe.

Fanya maamuzi sahihi! Ishi kwa kufakari!
 
Mungu yupo ila anafanya kila jambo analotaka kwa wakati wake hapangiwi, yeye ndio anyejua kesho yetu
Sasa wale wanaohangaika kujaribu kuwaambia watu watoke huku au kule au waokoke wanafanya nini ? Si kila kitu kimepangwa ? According to you hii ni kama movie imeshachezwa kinachofanyika sasa hivi tunaangalia marudio.., kwahio hata hao Gaza waliopigwa ni yeye alijua watapigwa (na angeweza kuzuia) ila aliacha according to you in USA washangalie, na according to you ili mwisho wa siku achome nyumba zao..., (Na according to you this has nothing to do na mabadiliko ya mazingira wala kujenga sehemu ambazo ni prone to Wild Fires)

Na kwa mantiki hio mlima Kilimanjaro ambao ni Dormant (haujafa) siku ukifanya yake na kuleta maafa utasemaje ? Kwamba Mungu anawapa adhabu CCM / Viongozi walamba Asali kwa kuwauwa na kuharibu mali za wanakijiji walio karibu na Mlima ?
Kwenye quran amesema , wanapanga mipango yao na yeye mungu anapanga na yeye ndio best of planners
Nilidhani unaamini kwamba alishapanga na kila kitu kimepangwa kwahio hapa ni utekelezaji ? Au bado anapanga na kupangua ?
 
Ni mashoga wangapi wamekufa kwenye huo moto mkuu?
 
Sasa wale wanaohangaika kujaribu kuwaambia watu watoke huku au kule au waokoke wanafanya nini ? Si kila kitu kimepangwa ? According to you hii ni kama movie imeshachezwa kinachofanyika sasa hivi tunaangalia marudio.., kwahio hata hao Gaza waliopigwa ni yeye alijua watapigwa (na angeweza kuzuia) ila aliacha according to you in USA washangalie, na according to you ili mwisho wa siku achome nyumba zao..., (Na according to you this has nothing to do na mabadiliko ya mazingira wala kujenga sehemu ambazo ni prone to Wild Fires)

Na kwa mantiki hio mlima Kilimanjaro ambao ni Dormant (haujafa) siku ukifanya yake na kuleta maafa utasemaje ? Kwamba Mungu anawapa adhabu CCM / Viongozi walamba Asali kwa kuwauwa na kuharibu mali za wanakijiji walio karibu na Mlima ?

Nilidhani unaamini kwamba alishapanga na kila kitu kimepangwa kwahio hapa ni utekelezaji ? Au bado anapanga na kupangua ?
Uwe unatumia akili basi hatupo hapa kufundishana vitu basic go to school
 
ACha wahangaike na moto wa allah kwanza , wewe endelea kuabudu wazungu, kwa wakristo tumeshawazoea huwa rahisi sana kudanganyika hamnaga imani thabiti ndio maana hata yesu mtume wa mungu alivyoonyesha miujiza mkaamua kumuabudu na kumuita yeye ni mungu
Leo kina kiboko ya wachawi na hao matapeli mnawaita manabii wamejua ujinga wenu na wao wanapita umo umo
Wewe unachuki za kimadrasa TU hakuna kingine
 
Uwe unatumia akili basi hatupo hapa kufundishana vitu basic go to school
Hakuna mtu ambae hana akili ila kuna watu hawana reasoning na wewe nadhani humo kwenye kundi hilo unaangalia mambo kwa mafungu.., na statement zako zote ni full of holes yaani sentensi yako ya kwanza inapingana na ya tatu.., hivyo wala sihitaji kukupinga bali unajipinga mwenyewe..., Ila ndio tatizo la kuanza na kitu unachodhani ndio jibu (hivyo kujaribu kukitafutia Swali)
 
Inasikitisha kuona binadamu wa karne hii kuwa na mawazo kama haya. Majanga ya kibinadamu yanatokea kila siku kila mahala, yanatofautiana ukubwa na madhara yake. Hizo stori nyingine ni kukosa uelewa wa namna ulimwengu ulivyo...

California kila mwaka inatokea mioto sio moto mmoja tu na kuharibu maelfu ya hekta za misitu, leo hii kwa kuwa umepitia makazi ya watu ishakuwa sababu ya ushoga? Watz tunapaswa kutafuta sana elimu wandugu tupunguze umbeya na wastage of time mitandaoni badala yake tuitumie kujipa maarifa tuliyokosa huko vidatoni na majalalani tutapunguza aibu ndogondogo kama hizi!
 
Back
Top Bottom