Hasira ya Mungu imeshuka juu ya LOS ANGELES, inateketea Kama Sodoma Na Gomora

Hasira ya Mungu imeshuka juu ya LOS ANGELES, inateketea Kama Sodoma Na Gomora

Mimi siwatishi Wala nini, Vyombo vya habari vitawadanganya kua Ni Mabadiliko ya Hali ya hewa, Mara Moto usiojulikana chanzo ,mara vile !!.

Usiombe Mungu akasirike alafu akuonyeshe waziwazi kua amekasirika na aamue kukutumia wewe kama mfano.

Los Angeles, Jiji maarufu ambalo Mashoga na wooote wa LGBTQ waliishi huko wakimchukia Mungu Sasa wamefikwa.

Soma Pia: Marekani: Moto Mkali Wateketeza Ekari 3,000 na Kuwafurusha Maelfu ya Watu Los Angeles

Ni Moto ambao Taifa la Marekan Licha ya Ubabe wake, Teknolojia yake isoshikika , Uchumi mkubwa , Jeshi kubwa wameshindwa kuuzima , na wanashindwa Kwa sababu ni Moto ambao sio KAZI ya mwanadamu ni MUNGU.

View attachment 3197895
.
View attachment 3197897
.
View attachment 3197898
USA : NO CEASEFIRE
GOD : OK, WILDFIRE
 
Uwepo wa wapumbavu kama wewe na mleta uzi hapa nchini utasababisha tuzidi kuchelewa sana kimaendeleo. Mna ujinga mwingi mno. Kwa akili zako za kipumbavu ni kwamba Mungu alikuwa anamlipiza James Wood kwa kuchoma nyumba hata za wasio na hatia?
Hujui wala huna exposure ya kujua nini kinachoendelea los angeles , wewe kaa utulie uache mungu afanye kazi yake , wenyewe wanajua walichokifanya na acha wavune dhambi zao
 
Wamemkata huyo mungu alieanzisha huo moto......

1736554199787.png
 
Mimi siwatishi Wala nini, Vyombo vya habari vitawadanganya kua Ni Mabadiliko ya Hali ya hewa, Mara Moto usiojulikana chanzo ,mara vile !!.

Usiombe Mungu akasirike alafu akuonyeshe waziwazi kua amekasirika na aamue kukutumia wewe kama mfano.

Los Angeles, Jiji maarufu ambalo Mashoga na wooote wa LGBTQ waliishi huko wakimchukia Mungu Sasa wamefikwa.

Soma Pia: Marekani: Moto Mkali Wateketeza Ekari 3,000 na Kuwafurusha Maelfu ya Watu Los Angeles

Ni Moto ambao Taifa la Marekan Licha ya Ubabe wake, Teknolojia yake isoshikika , Uchumi mkubwa , Jeshi kubwa wameshindwa kuuzima , na wanashindwa Kwa sababu ni Moto ambao sio KAZI ya mwanadamu ni MUNGU.

View attachment 3197895
.
View attachment 3197897
.
View attachment 3197898
Kwa hiyo hapa duniani wanaokuchukiza ni mashoga tu?Wachawi,majambazi,magaidi na wajinga wengine hauwaoni?
 
Mungu akiamua kupiga anapiga na vyote vilivyomo. Hakuna sehemu palipopata pigo la Mungu watu walibaki salama. Huko LA ni majengo na mali ndio vinateketea. Mungu hahusiki kwenye hili
 
Luka 13​

Wakati huo huo, kulikuwa na watu waliomwambia Yesu habari za Wagalilaya ambao Pilato aliwaua, na damu ya hao watu akaichanganya na dhabihu yao waliyokuwa wanatoa. Yesu akawauliza, “Mnadhani kwamba hawa Wagalilaya ambao walikufa kifo cha namna hiyo walikuwa na dhambi kuwazidi Wagalilaya wengine wote? La hasha! Ninyi nanyi msipotubu, mtaangamia vivyo hivyo. Au wale watu kumi na wanane waliokufa walipoangukiwa na mnara huko Siloamu: mnadhani wao walikuwa waovu kuliko watu wote waliokuwa wanaishi Yerusalemu? Nawaambia, la hasha! Ninyi nanyi msipotubu, wote mtaangamia vivyo hivyo.”
Wazee wa kusoma hadithi🤔
 
Sasa expert rate ya huu ufirauni unaona fanyika huko mamtoni ni sawa na wa hawa wapuuzi wachache wa huku?

Je unahitaji takwimu katika hili?
Kwa hiyo eneo likiwa na rate kubwa ya ufirauni ndio hasira ya Mungu inapanda?

Hivi kati ya ufirauni unaofanywa na watu wazima wenye akili na maamuzi yao binafsi, Na ulawiti unaofanywa na viongozi wa dini kwa watoto wadogo, kipi ni kibaya zaidi?
 
Mbona ni suala la akili tu hata kama kiroho haupo vizuri

Hilo Jiji lilijengwa Kwa kuzingatia majanga kama haya .

Wameshindwa Kwa sababu alouanzisha ndio Mwanzo na Mwisho .
Mkuu kumbe hata janga la kariakoo Mwenyezi alitoa tu kama warning jijini Dar es Salaam kwa kuongoza kuwa na ushoga na kufi**na😂😂
 
Mimi siwatishi Wala nini, Vyombo vya habari vitawadanganya kua Ni Mabadiliko ya Hali ya hewa, Mara Moto usiojulikana chanzo ,mara vile !!.

Usiombe Mungu akasirike alafu akuonyeshe waziwazi kua amekasirika na aamue kukutumia wewe kama mfano.

Los Angeles, Jiji maarufu ambalo Mashoga na wooote wa LGBTQ waliishi huko wakimchukia Mungu Sasa wamefikwa.

Soma Pia: Marekani: Moto Mkali Wateketeza Ekari 3,000 na Kuwafurusha Maelfu ya Watu Los Angeles

Ni Moto ambao Taifa la Marekan Licha ya Ubabe wake, Teknolojia yake isoshikika , Uchumi mkubwa , Jeshi kubwa wameshindwa kuuzima , na wanashindwa Kwa sababu ni Moto ambao sio KAZI ya mwanadamu ni MUNGU.

View attachment 3197895
.
View attachment 3197897
.
View attachment 3197898
Hakuna cha hasira ya Mungu hapo,acha bangi za chooni,mbona hatuoni hiyo hasira mtaa wa Ohio dar kwa Malaya wanaojiuza, kule zenj kwenye sherehe za mashoga, au uwanja wa fisi dar na Masasi! Mbona hizo, hasira hatuzioni zikiipiga Israel kwa managing inayoyafanya GaZa!
Usituletee ujinga wa kilokole hapa,
Kwanza kuna tetesi moto umewashwa makusudi
 
Muda mwingine Mungu anasingiziwa, upuuzi wa mvuta sigara nao asingiziwe Mungu?
Sasa kwanini useme ni mpuuzi..?
Kwahyo kuvuta sigarani upuuzi.?
Je moto wa sigara unaweza sababusha milima kuwaka moto..?
Kwanini usiseme bangi na sio sigara..?
Tumewakosea nini sisi..?
Mbona kila siku sisi..?

Na nyie mvute tuone kama mtawasha moto
 
Sawa Bw.
1736572927507.png
umeeleweka
 
Back
Top Bottom