MamaSamia2025
JF-Expert Member
- Mar 29, 2012
- 14,588
- 32,361
Nitolee upumbavu wako hapaNa wewe acha Makasiriko kisa tu unaipenda Marekani. Akiwa ni Munga au sio yeye hata wewe huwezi kujua. Nadhani wewe ungekuwepo kipindi cha farao bado ungepinga mengi tu aliyoyafanya Mungu.