Hasira ya Mungu imeshuka juu ya LOS ANGELES, inateketea Kama Sodoma Na Gomora

Hasira ya Mungu imeshuka juu ya LOS ANGELES, inateketea Kama Sodoma Na Gomora

Kwahio huyo Mungu ili kumuadhibu James Woods (ambaye nina uhakika yupo sorted na covered) kaamua kuleta majanga sehemu yote ili amuonyeshe jamaa kwamba anaweza ? And for you that is superiority and power na sio pettiness ?

Na majanga yanayotokea mpaka visiwa vya Madagascar mpaka Msumbiji sababu ya Mabadiliko ya Mazingira hao wamemkosea nani ? Na kipindi cha Ice Age waliwatukana kina nani ? (Nyangumi na Dinosaurs) ?
Sio yeye tu matajiri wengi wa california walichanga hadi hela ilo gaza ichomwe na iporwr leo california imegeuka gaza ,na kiongozi wa hawa washenzi kaenda kujiliza kwenye tv watu wakamkumbusha kuhusu kauli zake kuhusu gaza, teknolojia huwa haisahau , pamoja na hela zao zote leo wanalialia na kutia huruma ,mungu ni wa haki hii imeenda
 
We mbona uking'atwa na Mbu mmoja unaua na wasiohusika!?
Mimi ndio niliwaleta Mbu ? (Kwa Imani yako Mungu ndio kaleta kila kitu) na Kama ningejua kama unavyoamini kwamba Mungu anajua A mpaka Z basi ile instant mbu aniuma ningevuta shuka...,

Na ingawa nina akili ya kawaida tu, lakini najitahidi kuondoa mazalia ya mbu na sio kuchoma moto eneo zima au kukausha kisima badala ya kuhakikisha mbu hawazaliani humo ili niendelee kupata maji ya kunywa....
 
Ujue ni hasira ya Mungu kuna mtaa zinaungua nyumba zote inabaki Moja Haina hata tone la kuguswa na moto. Hata kule Hawaii moto ulifanya hivi hivi.
Kwa hasira moto unawaka kwa kasi na upepo unatembea kwa kasi ya km 90 kwa lisaa. Ukiishika Dar hapo ni within a day kila kitu kipo chini.
Tuombe rehema maana japo ushoga ni machukizo lakini pia uzinzi na uasherati ni dhambi pia. Tujifunze, tutubu, tubadikile Ili malaika mwarabu asitupitie na sisi.
 
Huko marekani mbona wamekumbwa na majanga ya asili wakati mmoja? Kuna baridi kali, na huo moto unaowaka tu bila kujulikana chanzo.
 
Mbona Hilo liko wazi, Mungu anamleta Mwanadam Duniani na maelekezo akampa hapohapo ,ili uishi milele unatakiwa ufanyeje, kinyume na hapo ni Kufa tu hamna namna .
Babu zako ambao hawakuambia hizi tamaduni za Waarabu na Wayahudi Mungu alikuwa bado hajapata njia ya mawasiliano ? Na kama kuishi milele ni kwenda kushuhudia wadau zangu wengine wanapigwa dhoruba wakati mimi nakula bata.., basi bora nife na kuendelea kufa kuliko kuishi milele
Mungu habembelezi ,anakuambia tu Kwa upendo, ukiendelea kumchukiza atakuondoa tu Kwa namna yake anayotaka.
Yaani anachukizwa na kitu ambacho anajua /anafahamu kabisa kwamba kitatokea ? Kwahio ni emotional..., na wala hayupo surgical dhoruba yake inapitia na wengine.., na haya yote anajua kabisa (mfano mwanamke ambaye maisha yake anakuwa mwenye chuki sababu alibakwa utotoni, ila Mungu alijua atabakwa na wala hakuzuia kubakwa kwake kutengeneza mbakaji)
 
Wildfires na Cali ni kama chupi na tako. In a month or two mji utarudi vile vile and even better wakati bongo bado ni utopolo bila majanga yeyote hapo sijui hasira ya mungu ipo kwa nani? Discuss.
Just imagine, wana majanga ila the wrath of God is upon us who don't have majanga🤣
 
Sio yeye tu matajiri wengi wa california walichanga hadi hela ilo gaza ichomwe na iporwr leo california imegeuka gaza ,na kiongozi wa hawa washenzi kaenda kujiliza kwenye tv watu wakamkumbusha kuhusu kauli zake kuhusu gaza, teknolojia huwa haisahau , pamoja na hela zao zote leo wanalialia na kutia huruma ,mungu ni wa haki hii imeenda
Mungu alikuwa wapi wakati mababu zako na waafrika wanachukuliwa kama watumwa kwenda kujenga ulaya na mpaka USA.., na arguably utajiri wa sehemu kama Liverpool na Belgium ni sababu ya watumwa, tena kwa logic yako ni kwamba Mungu amewazawadia sababu they are developed na ndio wanaendeleza marginalization ya vitukuu vya mababu zako walionyanyaswa....
 
Mbona Hilo liko wazi, Mungu anamleta Mwanadam Duniani na maelekezo akampa hapohapo ,ili uishi milele unatakiwa ufanyeje, kinyume na hapo ni Kufa tu hamna namna .

Mungu habembelezi ,anakuambia tu Kwa upendo, ukiendelea kumchukiza atakuondoa tu Kwa namna yake anayotaka.
Mimi Mungu hajanileta duniani na wala hajanipa maelezo yoyote.
Swala la kufa watu wote tunakufa, awe anashinda kanisani atakufa, awe anashinda msikitini atakufa, awe anashinda Guest na malaya atakufa vile vile.
 
Dhambi gani hiyo!
Mathayo 12 :31-32
Kwa sababu hiyo nawaambia, Kila dhambi na kila neno la kufuru watasamehewa wanadamu, ila kwa kumkufuru Roho hawatasamehewa.

Naye mtu ye yote atakayenena neno juu ya Mwana wa Adamu atasamehewa, bali yeye atakayenena neno juu ya Roho Mtakatifu hatasamehewa katika ulimwengu wa sasa, wala katika ule ujao....

Zingatia Maneno hayo nloyabold.
 
Mimi siwatishi Wala nini, Vyombo vya habari vitawadanganya kua Ni Mabadiliko ya Hali ya hewa, Mara Moto usiojulikana chanzo ,mara vile !!.

Usiombe Mungu akasirike alafu akuonyeshe waziwazi kua amekasirika na aamue kukutumia wewe kama mfano.

Los Angeles, Jiji maarufu ambalo Mashoga na wooote wa LGBTQ waliishi huko wakimchukia Mungu Sasa wamefikwa.

Ni Moto ambao Taifa la Marekan Licha ya Ubabe wake, Teknolojia yake isoshikika , Uchumi mkubwa , Jeshi kubwa wameshindwa kuuzima , na wanashindwa Kwa sababu ni Moto ambao sio KAZI ya mwanadamu ni MUNGU.

View attachment 3197895
.
View attachment 3197897
.
View attachment 3197898
Sodoma na Gomora part 2
 
Mungu alikuwa wapi wakati mababu zako na waafrika wanachukuliwa kama watumwa kwenda kujenga ulaya na mpaka USA.., na arguably utajiri wa sehemu kama Liverpool na Belgium ni sababu ya watumwa, tena kwa logic yako ni kwamba Mungu amewazawadia sababu they are developed na ndio wanaendeleza marginalization ya vitukuu vya mababu zako walionyanyaswa....
Mungu yupo ila anafanya kila jambo analotaka kwa wakati wake hapangiwi, yeye ndio anyejua kesho yetu
Kwenye quran amesema , wanapanga mipango yao na yeye mungu anapanga na yeye ndio best of planners
 
Mathayo 12 :31-32
Kwa sababu hiyo nawaambia, Kila dhambi na kila neno la kufuru watasamehewa wanadamu, ila kwa kumkufuru Roho hawatasamehewa.

Naye mtu ye yote atakayenena neno juu ya Mwana wa Adamu atasamehewa, bali yeye atakayenena neno juu ya Roho Mtakatifu hatasamehewa katika ulimwengu wa sasa, wala katika ule ujao....

Zingatia Maneno hayo nloyabold.
Hapa ndio biblia inakuwa na mashaka kwa wasomaji wanaotafakari...
Basi yaishe mkuu.
 
Mathayo 12 :31-32
Kwa sababu hiyo nawaambia, Kila dhambi na kila neno la kufuru watasamehewa wanadamu, ila kwa kumkufuru Roho hawatasamehewa.

Naye mtu ye yote atakayenena neno juu ya Mwana wa Adamu atasamehewa, bali yeye atakayenena neno juu ya Roho Mtakatifu hatasamehewa katika ulimwengu wa sasa, wala katika ule ujao....

Zingatia Maneno hayo nloyabold.
Sasa Mungu anatuagiza upendo watu wake wakati yeye mwenyewe ameshindwa kumsamehe Shetani.
Anatufundissha nini sisi watoto wake?
Yaaani yeye mwenyewe ameshindwa kumsamehe shetani ili awe mfano mzuri kwetu.
Huyo Mungu hayupo mkuu hebu tulia vizuri utaona hivyo.
 
Back
Top Bottom