Hasira ya Mungu imeshuka juu ya LOS ANGELES, inateketea Kama Sodoma Na Gomora

Hasira ya Mungu imeshuka juu ya LOS ANGELES, inateketea Kama Sodoma Na Gomora

Huo mji unatakiwa kupangwa upya hio ni mbinu tu imetumika.
Sehemu kama hii ipangwe upya
5CCD70C4-B476-44AC-8631-827B24794371.png
 
Mimi siwatishi Wala nini, Vyombo vya habari vitawadanganya kua Ni Mabadiliko ya Hali ya hewa, Mara Moto usiojulikana chanzo ,mara vile !!.

Usiombe Mungu akasirike alafu akuonyeshe waziwazi kua amekasirika na aamue kukutumia wewe kama mfano.

Los Angeles, Jiji maarufu ambalo Mashoga na wooote wa LGBTQ waliishi huko wakimchukia Mungu Sasa wamefikwa.

Ni Moto ambao Taifa la Marekan Licha ya Ubabe wake, Teknolojia yake isoshikika , Uchumi mkubwa , Jeshi kubwa wameshindwa kuuzima , na wanashindwa Kwa sababu ni Moto ambao sio KAZI ya mwanadamu ni MUNGU.

View attachment 3197895
.
View attachment 3197897
.
View attachment 3197898
Yaweza kuwa ni kweli, chukulia mfano hapa kwetu: hivi Dar inaweza kuteketea kwa moto kama vile mji wote umejengwa kwa nyumba za nyasi?
Chanzo chochote hakiwezi kuteketeza hata nyumba mbili kabla haujadhibitiwa.
 
Silaha zao ndio zinazoiteketeza Gaza, acha na wao waipate.
 
Kwahio huyo Mungu wa Ghadhabu, Hasira na Visasi na wa kuangamiza wote hata wasio hatia ndio kila siku unaomba ili mwisho wa siku mkajumuike ili muendelee kuwapiga ghadhabu so called wakosefu ?

Hio kwa lugha ya kidunia tunaita being barbaric...
Husomi maandiko, Mungu alowatuma waisrael wawaue Waamaleki kuanzia Mzee mpaka kichanga.

Yaan akuumbe mwenyewe umuabudu, wee ufanye yako alafu umpangie namna ya kukuondoa??🤣🤣
 
Yaweza kuwa ni kweli, chukulia mfano hapa kwetu: hivi Dar inaweza kuteketea kwa moto kama vile mji wote umejengwa kwa nyumba za nyasi?
Chanzo chochote hakiwezi kuteketeza hata nyumba mbili kabla haujadhibitiwa.
Mbona ni suala la akili tu hata kama kiroho haupo vizuri

Hilo Jiji lilijengwa Kwa kuzingatia majanga kama haya .

Wameshindwa Kwa sababu alouanzisha ndio Mwanzo na Mwisho .
 
Ila inafikirisha maana tech ya USA ni kubwa lakini hapa wameshindwa kabisa ila tuwaombee wavuke salama
 
Kwamba huko Los Angeles ndio kuna maovu kuliko sehemu zingine za dunia? Kwamba sehemu kama dar watu hawaishi usodoma?
Huko ndoa za mashonga ni halali.Huko shoga analindwa anapetipetiwa watumishi wa mungu wanaoa wanaume wenzao. Hayo niyasikia kwa muhubiri flani wa huko usa mwaka jana alikuwa anasema hasira ya bwana iko karibu kuwashukia kwenye hii miji hasa las angeles.

Mimi sio muumini sana wa majanga kama haya kumusisha mungu huwa niko kinyume kabisa maana majusi tumeshudia vibunga vya kufa mtu kule kule magharibi
 
Back
Top Bottom