Vice J
JF-Expert Member
- May 16, 2024
- 530
- 766
😄😄😄Kwenye keyboard herufi d na s zinekaribiana, naona alitaka kuandika Sodoma na Gomora.
Ila Dodoma nako kuna vituko kama Sodoma. Hususana wakati wa vikao vya bunge.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
😄😄😄Kwenye keyboard herufi d na s zinekaribiana, naona alitaka kuandika Sodoma na Gomora.
Ila Dodoma nako kuna vituko kama Sodoma. Hususana wakati wa vikao vya bunge.
nenda kasome alichoandika na kusema actor james woods kuhusu gaza halafu angalia leo anavyolia kama mtoto kwenye national television kisa tu nyumba yake na mali zake zimeungua, huku alitoa hadi hela na kutaka watu wote gaza wauliwe wao na familia zao, leo mungu kampa mtihani kidogo tu analia, mungu hadhihakiwi ,ule moto ni ukumbusho kuwa mungu yupoKwahio huyo Mungu wa Ghadhabu, Hasira na Visasi na wa kuangamiza wote hata wasio hatia ndio kila siku unaomba ili mwisho wa siku mkajumuike ili muendelee kuwapiga ghadhabu so called wakosefu ?
Hio kwa lugha ya kidunia tunaita being barbaric...
🤣🤣Dodoma na Gomora tena?
Hanang ni eneo lenye landslides na kijiegrafia ila huu moto hata hao wenye hela na teknojia wamebaki wanalia kama watoto, mungu ana njia zake za kujitokeza ,hawa matajiri wa los angeles walichanga hadi hela na kuongea maneno ya kashfa kwamba watu wa gaza wachomwe na wauliwe, leo mali zao zinateketea tu wanalia kama watoto, nenda kaangalie james woods aliesema watu wa gaza wachomwe moto alivyolia kwenye tv kama mtoto ,wenzake wamepoteza familia zao ,yeye kapoteza mali tu analialia ovyo kama shogaLazima wapumbavu kama wewe mjitokeze kwenye matukio kama haya. Huko Hanang nao walikutwa na hasira ya Mungu?
Mungu ni wa hakiHizi ni habari njema
Kwa sasa huwezi kutofautisha Gaza na sehemu zilizoungua za L.A
Kumbuka Marekani imeisaidia Israel billions of dollars kuifanya Gaza magofu
View attachment 3197937
Mkuu,Kiwango cha kufiranaa Dar es Salaam na Los Angeles ni mbingu na ardhi..
Kuna watu wengi walitoa hadi hela ili tu kizazi cha gaza kifutike na wakajitapa hadi kwenye tv, cha ajabu leo wao mali zao zimeungua tu wamekimbilia kulialia kwenye tv, karma well servedMkuu,
Unaangalia magnitude ya dhambi au unaangalia dhambi kama ilivyo?
Kwani huyo Mungu anaipimaje dhambi? Kwa sababu kama ni uzinzi watz tunazini tu kama kwingine duniani, majambqzi yapo, wafiraji wapo, yaani hakuna dhambi iliyopo Los Angeles unaikosa Dar.
Sasa Mungu anatumia kigezo gani?
We mbona uking'atwa na Mbu mmoja unaua na wasiohusika!?Kwahio huyo Mungu wa Ghadhabu, Hasira na Visasi na wa kuangamiza wote hata wasio hatia ndio kila siku unaomba ili mwisho wa siku mkajumuike ili muendelee kuwapiga ghadhabu so called wakosefu ?
Hio kwa lugha ya kidunia tunaita being barbaric...
Ndio hayo hayo maandiko yanayotwambia kama anajua mwanzo na mwisho alafu baadae anakasirishwa na jambo ambalo alilijua in the first place ? Yaani ni kama entrapment, unajua fulani atakosa ila unamuumba ili baadae umuathibuHusomi maandiko, Mungu alowatuma waisrael wawaue Waamaleki kuanzia Mzee mpaka kichanga.
Kwahio wewe sababu ulizaa watoto wako uwachome kama mishikaki sababu uliwazaa, kwani ulilazimishwa kuwaleta duniani au uliwa-consult kwamba wakija lazima wafanye A, B, C kama hawataki basi wasije ? Hio ina tofauti gani wale watu wa Roma waliokuwa wanashika wale Gladiators na kuwalazimisha wapigane for their entertainment ?Yaan akuumbe mwenyewe umuabudu, wee ufanye yako alafu umpangie namna ya kukuondoa??🤣🤣
Mbona Hilo liko wazi, Mungu anamleta Mwanadam Duniani na maelekezo akampa hapohapo ,ili uishi milele unatakiwa ufanyeje, kinyume na hapo ni Kufa tu hamna namna .Ndio hayo hayo maandiko yanayotwambia kama anajua mwanzo na mwisho alafu baadae anakasirishwa na jambo ambalo alilijua in the first place ? Yaani ni kama entrapment, unajua fulani atakosa ila unamuumba ili baadae umuathibu
Kwahio wewe sababu ulizaa watoto wako uwachome kama mishikaki sababu uliwazaa, kwani ulilazimishwa kuwaleta duniani au uliwa-consult kwamba wakija lazima wafanye A, B, C kama hawataki basi wasije ? Hio ina tofauti gani wale watu wa Roma waliokuwa wanashika wale Gladiators na kuwalazimisha wapigane for their entertainment ?
Haikuwa kiwango hicho na hii ya cali uzuri wake hadi wale viburi waliokuwa wanafurahia na kuchanga mapesa ili gaza ifutike wameenda kulia hadi kwenye tvHaya Ile ya uturuki nayo??, sir God ali maindi ehh!!
Kwahio huyo Mungu ili kumuadhibu James Woods (ambaye nina uhakika yupo sorted na covered) kaamua kuleta majanga sehemu yote ili amuonyeshe jamaa kwamba anaweza ? And for you that is superiority and power na sio pettiness ?nenda kasome alichoandika na kusema actor james woods kuhusu gaza halafu angalia leo anavyolia kama mtoto kwenye national television kisa tu nyumba yake na mali zake zimeungua, huku alitoa hadi hela na kutaka watu wote gaza wauliwe wao na familia zao, leo mungu kampa mtihani kidogo tu analia, mungu hadhihakiwi ,ule moto ni ukumbusho kuwa mungu yupo
Hata kipindi cha mitume mungu alikuwa akitukumbusha kwa njia mbali mbali ikiwemo magharika hakuna cha ajabu hawa watu walijisahau wakajiona miungu watu, acha liwakute
Kuna kiwango cha uovu. Hata Sodoma na Gomorra, Mungu alinyeshea mvua baada ya maovu yao kuwa yamepituliza kiwango cha kawaida. Kilio cha dhambi kilipita kiwangoMkuu,
Unaangalia magnitude ya dhambi au unaangalia dhambi kama ilivyo?
Kwani huyo Mungu anaipimaje dhambi? Kwa sababu kama ni uzinzi watz tunazini tu kama kwingine duniani, majambqzi yapo, wafiraji wapo, yaani hakuna dhambi iliyopo Los Angeles unaikosa Dar.
Sasa Mungu anatumia kigezo gani?
Hivi unajua Kuna Dhambi Ukishaifanya tu Mungu hatokaa kuisamehe kabisa kabisa hata ulie Kwa kusaga menoMkuu,
Unaangalia magnitude ya dhambi au unaangalia dhambi kama ilivyo?
Kwani huyo Mungu anaipimaje dhambi? Kwa sababu kama ni uzinzi watz tunazini tu kama kwingine duniani, majambqzi yapo, wafiraji wapo, yaani hakuna dhambi iliyopo Los Angeles unaikosa Dar.
Sasa Mungu anatumia kigezo gani?
Ndo ushangaei moto uruke magemen hadi posta kariakoo hukoYaweza kuwa ni kweli, chukulia mfano hapa kwetu: hivi Dar inaweza kuteketea kwa moto kama vile mji wote umejengwa kwa nyumba za nyasi?
Chanzo chochote hakiwezi kuteketeza hata nyumba mbili kabla haujadhibitiwa.