Black Sniper
JF-Expert Member
- Dec 10, 2013
- 32,406
- 55,148
Huyo jamaa ni bladfakeni asbh nimeweka uzi akaandika hivyo hivyo alivyo ku quote wewe hapoMkuu kwakua wee Hauna kazi ya kufanya ,unahisi wote hatuna?.
Sehemu kama hii ipangwe upyaHuo mji unatakiwa kupangwa upya hio ni mbinu tu imetumika.
Yaweza kuwa ni kweli, chukulia mfano hapa kwetu: hivi Dar inaweza kuteketea kwa moto kama vile mji wote umejengwa kwa nyumba za nyasi?Mimi siwatishi Wala nini, Vyombo vya habari vitawadanganya kua Ni Mabadiliko ya Hali ya hewa, Mara Moto usiojulikana chanzo ,mara vile !!.
Usiombe Mungu akasirike alafu akuonyeshe waziwazi kua amekasirika na aamue kukutumia wewe kama mfano.
Los Angeles, Jiji maarufu ambalo Mashoga na wooote wa LGBTQ waliishi huko wakimchukia Mungu Sasa wamefikwa.
Ni Moto ambao Taifa la Marekan Licha ya Ubabe wake, Teknolojia yake isoshikika , Uchumi mkubwa , Jeshi kubwa wameshindwa kuuzima , na wanashindwa Kwa sababu ni Moto ambao sio KAZI ya mwanadamu ni MUNGU.
View attachment 3197895
.
View attachment 3197897
.
View attachment 3197898
Ndio maanakeSehemu kama hii ipangwe upyaView attachment 3197907
Silaha zao ndio zinazoiteketeza Gaza, acha na wao waipate.Mimi siwatishi Wala nini, Vyombo vya habari vitawadanganya kua Ni Mabadiliko ya Hali ya hewa, Mara Moto usiojulikana chanzo ,mara vile !!.
Usiombe Mungu akasirike alafu akuonyeshe waziwazi kua amekasirika na aamue kukutumia wewe kama mfano.
Los Angeles, Jiji maarufu ambalo Mashoga na wooote wa LGBTQ waliishi huko wakimchukia Mungu Sasa wamefikwa.
Ni Moto ambao Taifa la Marekan Licha ya Ubabe wake, Teknolojia yake isoshikika , Uchumi mkubwa , Jeshi kubwa wameshindwa kuuzima , na wanashindwa Kwa sababu ni Moto ambao sio KAZI ya mwanadamu ni MUNGU.
View attachment 3197895
.
View attachment 3197897
.
View attachment 3197898
Husomi maandiko, Mungu alowatuma waisrael wawaue Waamaleki kuanzia Mzee mpaka kichanga.Kwahio huyo Mungu wa Ghadhabu, Hasira na Visasi na wa kuangamiza wote hata wasio hatia ndio kila siku unaomba ili mwisho wa siku mkajumuike ili muendelee kuwapiga ghadhabu so called wakosefu ?
Hio kwa lugha ya kidunia tunaita being barbaric...
Kiwango cha kufiranaa Dar es Salaam na Los Angeles ni mbingu na ardhi..Kwamba huko Los Angeles ndio kuna maovu kuliko sehemu zingine za dunia? Kwamba sehemu kama dar watu hawaishi usodoma?
Wee ni Upinde??Nimeshangaa unapost upuuzi nikadhani hauna kazi
Uwezo mdogo wa kufikiri na kukosa elimu ndio tatizo watu wanaanza kuamini Tu bila kuumiza vichwaLazima wapumbavu kama wewe mjitokeze kwenye matukio kama haya. Huko Hanang nao walikutwa na hasira ya Mungu?
Huo mji unatakiwa kupangwa upya hio ni mbinu tu imetumika.
Mbona ni suala la akili tu hata kama kiroho haupo vizuriYaweza kuwa ni kweli, chukulia mfano hapa kwetu: hivi Dar inaweza kuteketea kwa moto kama vile mji wote umejengwa kwa nyumba za nyasi?
Chanzo chochote hakiwezi kuteketeza hata nyumba mbili kabla haujadhibitiwa.
Huko ndoa za mashonga ni halali.Huko shoga analindwa anapetipetiwa watumishi wa mungu wanaoa wanaume wenzao. Hayo niyasikia kwa muhubiri flani wa huko usa mwaka jana alikuwa anasema hasira ya bwana iko karibu kuwashukia kwenye hii miji hasa las angeles.Kwamba huko Los Angeles ndio kuna maovu kuliko sehemu zingine za dunia? Kwamba sehemu kama dar watu hawaishi usodoma?