Hasira ya Mungu imeshuka juu ya LOS ANGELES, inateketea Kama Sodoma Na Gomora

Yani ninacho endelea kukushangaa unafurahiaje majanga kwa ndugu yako?
Watu watu wa kuwaonea huruma ila mtu muuwaji na aneyetoa hadi hela ili watu wauliwe na kutamka hadharani kill them all, huyo ni wa kuonewa huruma, atleast wameonja wenzao wanachopitia, life can humble u, bila ya mungu kufanya haya wasingeelewa wakiona wale watoto wanavyouliwa na kubomolewa nyumba zao kule gaza na kwingineko duniani
 
Huyo atakuwa Mungu mwingine unayemwongelea, Mungu baba yake Kristo hafurahii adui kuumia na wala hachukii watenda maovu.

Huyo unayemzungumzia atakuwa Mungu wako peke yako.

[44] lakini mimi nawaambia, Wapendeni adui zenu, waombeeni wanaowaudhi, [45] ili mpate kuwa wana wa Baba yenu aliye mbinguni; maana yeye huwaangazia jua lake waovu na wema, huwanyeshea mvua wenye haki na wasio haki.
 
Nasikia baadhi ya mataifa Marekani au Urusi wana teknolojia ya kutengeneza mvua, vp wameshindwa kutengeneza mvua inyeshe ili moto uzimike?
Tatizo la masikini akiona tajiri anafilisika anafikiri kufilisika kwake kutamsaidia yeye kuwa tajiri. Kitu ambacho masikini wengi hawajui ni kwamba matajiri wakiongezeka katika eneo lako nawewe uwezekano wa kuwa tajiri unaongezeka. Pia masikini wote wanafikiri utajiri unatoka kwa Mungu. Wakati utajiri unatoka kwenye mawazo na tabia za mtu. Mawazo ya masikini ni kushinda kwenye nyumba za ibada kuomba Mungu ampe utajiri. Mawazo ya jijiri ni kufanya kazi ,kuwaza namna kutatua matatizo ya watu wanao mzunguka kwa malipo.
 
Mungu wa yupi mkweli ona Palestine ona sasa machozi ya watoto wapalestina kodi za marekani zinatumika kutililisha machozi ya wapalestina leo marekani inawaka MOTO MOTO MOTO MOTO MOTO ukweli akuna maigizo apo kama kwenu mungu wenu zaifu kias mchungaji inabidi apange mchongo kuigiza tukio kisha mtu adai kapona uwongo ntupu kichefuchefu zaid sifa anapewa YES● na mikeleleeee kibao yesu anaweza yesu anaokoa haaaaa raaaaa sana MOTO UWO LIVE je kwanini tusiamini mungu wa Palestine ndio mkuu!!!
Ningekujibu lakini kwa kuwa umeingiza mambo ya dini naona bora nikuache tu maana hakuna ujualo na Ujinga na Upumbavu unakusumbua kufananisha tukio la kupigwa magaidi wa Hamas kutokana na uchokozi wao wa Oct 07,2023 na Janga la moto lililotokea huko Marekani!!
 
Mimi siwatishi Wala nini, Vyombo vya habari vitawadanganya kua Ni Mabadiliko ya Hali ya hewa, Mara Moto usiojulikana chanzo ,mara vile !!.

Usiombe Mungu akasirike alafu akuonyeshe waziwazi kua amekasirika na aamue kukutumia wewe kama mfano.

Los Angeles, Jiji maarufu ambalo Mashoga na wooote wa LGBTQ waliishi huko wakimchukia Mungu Sasa wamefikwa.

Soma Pia: Marekani: Moto Mkali Wateketeza Ekari 3,000 na Kuwafurusha Maelfu ya Watu Los Angeles

Ni Moto ambao Taifa la Marekan Licha ya Ubabe wake, Teknolojia yake isoshikika , Uchumi mkubwa , Jeshi kubwa wameshindwa kuuzima , na wanashindwa Kwa sababu ni Moto ambao sio KAZI ya mwanadamu ni MUNGU.

View attachment 3197895
.
View attachment 3197897
.
View attachment 3197898
Ni kweli hii ni hasira ya Mungu kwa wamerekani
 
Na Uturuki MUNGU Alikasirika Nini baada ya tetemeko Kuwa Watu zaidi ya 1000??🎤

View: https://youtu.be/yfKJQMAFbbc?si=Fg_kFJRihndQhvtW
 
Wewe kaa na akili zako tuachie ujinga wetu unachoumia ni nini? Mungu hapangiwi acha afanye kazi yake
wewe unasumbuliwa na Ujinga na Upumbavu. Mwaka jana tu Iran ilipata janga la mafuriko ndiyo tuseme Allah wenu alikuwa akifanya kazi yake? Hebu angalia majanga yaliyotokea huko Iran-
1.
View: https://x.com/maryam_rajavi/status/1553462679544758272?s=61
2.
View: https://x.com/top_disaster/status/1691437892311425024?s=61
3.
View: https://x.com/hananyanaftali/status/1110511722383765506?s=61
4.
View: https://x.com/ehsanrebound/status/1109033083607633920?s=61
Hakuna uhusiano wowote kati ya kipondo kwa magaidi wa Hamas walioua watu Oct 07,2023 na Janga la moto huko Marekani. Hata hivyo janga la hilo moto haliwezi kupunguza kipigo kwa Magaidi wa Hamas huko Gaza wao wataendelea kuchezea kipondo mpaka watakapowaachia mateka wote huko Gaza.!!
 
Ni kweli hii ni hasira ya Mungu kwa wamerekani
Huo ni ujinga na upumbavu wa hali ya juu kuhusisha kipigo kwa magaidi wa hamas walifanya mauaji ya Oct 07,2023 na Janga walilopata Marekani. Mbona Iran wao majanga huko ni kawaida kwa miaka 5 wamepata mafuriko,Matetemeko na majanga mengi tu kwa hiyo tuseme nao hiyo ni Hasira ya Allah???
 
Nadhani unaumwa,nani kasema kuwa hasira za Mungu ni kwa ajili ya kipigo cha hamas?
 
wewe unasumbuliwa na Ujinga na Upumbavu. Mwaka jana tu Iran ilipata janga la mafuriko ndiyo tuseme Allah wenu alikuwa akifanya kazi yake? Hebu angalia majanga yaliyotokea huko Iran-
1.
View: https://x.com/maryam_rajavi/status/1553462679544758272?s=61
2.
View: https://x.com/top_disaster/status/1691437892311425024?s=61
3.
View: https://x.com/hananyanaftali/status/1110511722383765506?s=61
4.
View: https://x.com/ehsanrebound/status/1109033083607633920?s=61
Hakuna uhusiano wowote kati ya kipondo kwa magaidi wa Hamas walioua watu Oct 07,2023 na Janga la moto huko Marekani. Hata hivyo janga la hilo moto haliwezi kupunguza kipigo kwa Magaidi wa Hamas huko Gaza wao wataendelea kuchezea kipondo mpaka watakapowaachia mateka wote huko Gaza.!!

Hujaona leo wamarekani walivyokuwa wanamuomba mungu msamaha kwa kusujudu makanisani? Chezea vyote usocheze na mungu, leo james woods wa kulia kwenye tv kisa tu nyumba yake imeungua na hana insurance, wakati alisema kwenye tweets zake kill them all kuhusu gaza, thats life mungu huwa halali ,unachomuobea mwenzako ndio mungu anakuridishia, leo watu wa california wamekuwa wakupewa misaada ya chakula na nguo, indeed god is great, allahu akbar
 
Nadhani unaumwa,nani kasema kuwa hasira za Mungu ni kwa ajili ya kipigo cha hamas?
Endelea kudhani lakini hakuondoi wala kupunguza kipondo kwa magaidi wa Hamas kupigwa kutokana na unyama na mauaji waliyoyafanya Oct 07,2023 na wataendelea kupigwa mpaka mateka wote nami nasema wapigwe tu maana hakuna namna!!!!
 
Hujaona leo wamarekani walivyokuwa wanamuomba mungu msamaha kwa kusujudu makanisani? Chezea vyote usocheze na mungu, leo james woods wa kulia kwenye tv kisa tu nyumba yake imeungua na hana insurance, wakati alisema kwenye tweets zake kill them all kuhusu gaza, thats life mungu huwa halali ,unachomuobea mwenzako ndio mungu anakuridishia, leo watu wa california wamekuwa wakupewa misaada ya chakula na nguo, indeed god is great, allahu akbar
Ulivyo mjinga na mpumbavu endelea kujifariji tu yaani mnamfanya mungu kuwa mjinga kama ulivyo wewe? Israel ndiyo ndiyo inapigana huko Gaza harafu adhabu aipe marekani badala ya kuipa Israel.Ujinga huo Mungu wetu hafanyi labda mungu wenu Allah
 
Hivi unadhani mungu ana akili fupi kama zako? Mungu hajui nani anafadhili haya yote yanayofanyika gaza? Mungu hajui wanachopanga kwa siri ? Unadhani mungu anapata habari kwenye tv kama wewe? Grow up
 
Endelea kudhani lakini hakuondoi wala kupunguza kipondo kwa magaidi wa Hamas kupigwa kutokana na unyama na mauaji waliyoyafanya Oct 07,2023 na wataendelea kupigwa mpaka mateka wote nami nasema wapigwe tu maana hakuna namna!!!!
Hamas sio magaidi,ni ufinyu wako wa kufikiri ndio unaokutuma kusema hamas ni magaidi
 
Hivi unadhani mungu ana akili fupi kama zako? Mungu hajui nani anafadhili haya yote yanayofanyika gaza? Mungu hajui wanachopanga kwa siri ? Unadhani mungu anapata habari kwenye tv kama wewe? Grow up
Basi mungu wenu atakuwa mjinga sana. Hata hivyo hiyo haisaidii kupunguza kipigo kwa magaidi wa Hamas walioua watu,wakabaka watu na kuteka watu Oct 07,2023. Hamas wataendelea kutwangwa mpaka warudishe mateka waliowateka bila hivyo mpaka waishe wote kabisa. Na hii vita haiishi mpaka Hamas wafutike!!!
 
Mimi siwatishi Wala nini, Vyombo vya habari vitawadanganya kua Ni Mabadiliko ya Hali ya hewa, Mara Moto usiojulikana chanzo ,mara vile !!.

Usiombe Mungu akasirike alafu akuonyeshe waziwazi kua amekasirika na aamue kukutumia wewe kama mfano.

Los Angeles, Jiji maarufu ambalo Mashoga na wooote wa LGBTQ waliishi huko wakimchukia Mungu Sasa wamefikwa.

Soma Pia: Marekani: Moto Mkali Wateketeza Ekari 3,000 na Kuwafurusha Maelfu ya Watu Los Angeles

Ni Moto ambao Taifa la Marekan Licha ya Ubabe wake, Teknolojia yake isoshikika , Uchumi mkubwa , Jeshi kubwa wameshindwa kuuzima , na wanashindwa Kwa sababu ni Moto ambao sio KAZI ya mwanadamu ni MUNGU.

View attachment 3197895
.
View attachment 3197897
.
View attachment 3197898
Thinitisha kuwa unayosema una hakika isiyo na shaka.
 
Hamas sio magaidi,ni ufinyu wako wa kufikiri ndio unaokutuma kusema hamas ni magaidi
Kwa akili yako finyu ni wateule wa mungu wako?? Hamas ni Magaidi vitendo vyao vinadhibitisha kuwa wao ni Magaidi wala si vinginevyo,Oct 07,2023 walivamia huko Israel wakateka watu,wakatesa watu,wakabaka watu na kuua watu hadi sasa wanawatumia watu kama kinga( Human-Shield ) hizo zote ni sifa za magaidi ulimwenguni!!!
 
Kiwango cha kufiranaa Dar es Salaam na Los Angeles ni mbingu na ardhi..
Na vipi kule Iran, UAE-dubai kulivyotokea mafuriko au turkey tetemeko itakuwa nchi hizi kuna mishoga na misagaji mingi mnoooooo.....
 
Back
Top Bottom