Hasira ya Mungu imeshuka juu ya LOS ANGELES, inateketea Kama Sodoma Na Gomora

Hasira ya Mungu imeshuka juu ya LOS ANGELES, inateketea Kama Sodoma Na Gomora

Ningekujibu lakini kwa kuwa umeingiza mambo ya dini naona bora nikuache tu maana hakuna ujualo na Ujinga na Upumbavu unakusumbua kufananisha tukio la kupigwa magaidi wa Hamas kutokana na uchokozi wao wa Oct 07,2023 na Janga la moto lililotokea huko Marekani!!
Mossad ndio wamechoma Israel hatari sana wana wa Israel wanna akili sanaa ukiwapinga Mungu anakupa janga kubwa. Nyie kigeu kigeu tatizo ingekuwa IRAN ndiio aya majanga tunawajua kwa propaganda za kidini ingepambwa israel adi tuogope ujinga.
 
kama MUNGU angesema anateketeza miji michafu, nakuhakikishia, Tel aviv, LAS VEGAS - NEVADA, nchi zote za kiarabu, ISIS wote wale wanaochinja wakristo mchana kweupe, boko haram etc pasingeonekana leo hii. MUNGU ameweka siku yake atakayokuja kuihukumu dunia, ameelekeza watu waifikirie toba, adhabu yake kwa watenda dhambi itakuwa sio ndogo kama hiyo mnayoiona, haibebeki, ni nzito kupita maelezo.

2 PETRO 3:9 Bwana hakawii kuitimiza ahadi yake, kama wengine wanavyokudhani kukawia, bali huvumilia kwenu, maana hapendi mtu ye yote apotee, bali wote wafikilie toba.
 
Kukamatwa na Serikali kwa hilo jambo ulilolisoma
Weka hapa serikali itanijuaje, weka hapa kosa litakalotumika kunikamata.

Tena lieleweke mpaka Interpol na US State Department, kwa sababu mimi sipo Tanzania.
 
allah kiboko alipeleka tetemeko Turkey, mafuriko dubai, na Iran maana mishoga na misagwaji imejaaaa sana huko.
allah kapeleka kipondo gaza na kaacha hamas na hezbollah ipoteze viongoz wao tena kwa kuuliwa kibudu maana na wao walizidi sana kuwa mashoga na misagwaji.
Nyie leo mnajidai amtaki tuamini mungu ndio anaichoma marekani lkn mlivo mizwazwa ingekuwa MOTO upo iran mungesifia muuni wenu mnaomwita mungu!!!!!! Lkn Leo mnajidai eti majanga ya asili umeona wapi ktk dunia hii MOTO KAMA HUUU??
 
weee kwa hiyo ni moto toka kwa allah?
 
weee kwa hiyo ni moto toka kwa allah?
Yess malipo apa apa marekani ndio Israel uwez kuwatenganisha, silaha wanajeshi majenerali wa marekani ndio wanaongoza vita apo GAZA kila kitu ni Marekani wauwaji wa watoto na machozi yao lazima wayalipie pakubwa huuu mwanzo tuuuuuu!! Ata nyie mashabiki maandazi kwakuwa nanyi mmedhabikia mauwaji yale mjue mtakutana na majanga aina tofaut tofaut kias mjue zambi yenu!! Vinauliwa vitoto nyie mnashangilia!!! Mtalipia na yumkin bahadhi yenu mshaanza kulipia!!
 
Hawezi kukupa Source ya UHARO huu maana jamaa anaongozwa na Chuki binafsi na marekani hivyo anajitahidi kuleta uongo ili tu aeneze chuki za kutosha dhidi ya marekani. Najiuliza yeye sijui itamsaidia nini!!
Mbona unaumia utadhani ww ni Mmarekani?
Yaani unamtukana na kutweza utu wa mtz mwenzako kisa Marekani ambayo hata hujawahi wala hutarajii kuikanyaga?
Ww una sema chuki dhidi ya Marekani inamsaidia nini ,vipi na ww mauaji ya wapalestina yana kusaidia nini kwenye maisha yako mbona unayafurahia?
Heshimu mitazamo ya wenzako.
 
Mitizamo ya kijinga siwezi kuiheshimu hata siku moja!! Na wewe kwa akili yako ndogo umejua mauaji ya wapalestina tu na hujui kabisa mauaji yaliyofanyika Oct 07,2023 ambayo hao unaowaita wewe Wapalestina waliteka,wakatesa watu,wakabaka na kuua watu 1,200 ulivyo mjinga huyaoni hayo!! Acha chuki za kijinga kama hizo. Ulivyo limbukeni unafikiri utu ni kwa waarabu tu kwa wengine hapana? Hayo yote ni ujinga na Upumbavu walioufanya waarabu wenzako Oct 07,2023 sasa acha wavune walichopanda.
 
Attachments

  • IMG_1193.jpeg
    IMG_1193.jpeg
    103.6 KB · Views: 3
Yess malipo apa apa marekani ndio Israel uwez kuwatenganisha, silaha wanajeshi majenerali wa marekani ndio wanaongoza vita apo GAZA kila kitu ni Marekani wauwaji wa watoto na machozi yao lazima wayalipie pakubwa huuu mwanzo tuuuuuu!! Ata nyie mashabiki maandazi kwakuwa nanyi mmedhabikia mauwaji yale mjue mtakutana na majanga aina tofaut tofaut kias mjue zambi yenu!! Vinauliwa vitoto nyie mnashangilia!!! Mtalipia na yumkin bahadhi yenu mshaanza kulipia!!
Huo ni Ujinga na Upumbavu uliopitiliza Iran imekuwa kwenye majanga makubwa kila Mwaka nayo tuseme ni moto kutoka kwa Allah wenu? Nashangaa sana kila waarabu wanaposhindwa vita hawaachi kusingizia Marekani kuwa inaisaidia Israel wameshaanza wao anayewasaidia hata kama hawana kama wao wanaona kusaidiwa ni deal kwa nini nao wasitafute mpambe wa kuwasaidia? Kuna ujinga mwingine wa kusema watoto wanauliwa huko Gaza wamesahau kuwa Hamas ni magaidi wanatumia watoto kama kinga ili wahurumiwe na jumuia za kimataifa.hata hivyo mwenye akili Tim am ataki uliżą hayo mabomu ya Israel yanaua watoto tu wakubwa yanawakwepa? Lakini kwa ujinga wako unalishwa UHARO wa waarabu na wewe unaufakamia bila kujua wenzako wana Łęgno la kutafuta huruma kutoka wa watu maana Israel inashusha kipigo kikubwa mnóstwo kwao hivyo wanatafuta huruma kwa nguvu zote.
 
ngoja niendelee kunywa mtori nyama nitapata hapahapa nilijua umeibuka tu from nowhere yan yale majanga ya kiasili kumbe kuna mwamba behind?
 
Leo tuwe na mjadala huu: kuna vitu vinahitaji watu wavielewe kiundani.

Wewe unahisi Chanzo cha moto wa Los Angeles California ni kipi? Toa sababu unazozijua
Unakaa Tanzania , huna vifaa vya uchunguzi. HUWEZI JUA CHANZO CHA MOTO ULIOTOKEA MAREKANI. NI UONGO.WAO WATASEMA WAKIFANYA UCHUNGUZI KWA SASA HAKUNA ANAYEWEZA KUJUA CHANZO CHA MOTO ULIOTOKEA MAREKANI NA ANAISHI TANDALE KWA MFUGA MBWA AU MABIBO MAJI MATITU.
 
Back
Top Bottom