Hassan Mwakinyo apoteza kwa T.K.O dhidi ya Liam Smith | M&S Bank Arena | Liverpool

Yaani unamaanisha mayweather hajawahi kulipwa Dola laki 2 (Tsh.230Mil) hivi mkuu unafuatilia kweli ngumi au umesema tu
Hiyo ni hela ambayo Mayweather hawezi kupanda ulingoni kabisaa
Sio Dollar laki 2 mkuu.
Dollar laki 2 mbili mbona ya kawaida tu.

Kuna mwanangu keshawahi lamba Dollar laki mbili na sabini, mwaka 2014, lakini leo hii tuna kula pamoja dona dagaa, na kugongeana ganja kila leo.
 
Natasha Jonas amenikosha sana aisee hizi ndio ngumi sasa huyu dada ni balaa aisee
 
Huyu Smith ni mbishi sana.

Weakness kwa Hassan Mwakinyo siku zote ni:-

1) Anaishiwa sana pumzi kwenye round za mwisho
2) Ana ngumi nyepesi, ambazo wapinzani wake wanazimudu.
Hapo UK wanamtambua kama heavy puncher,ndivyo wanavyomuita kwa alivyomfanya ndugu yao Sam eggington
 
Sio Dollar laki 2 mkuu.
Dollar laki 2 mbili mbona ya kawaida tu.

Kuna mwanangu keshawahi lamba Dollar laki mbili na sabini, mwaka 2014, lakini leo hii tuna kula pamoja dona dagaa, na kugongeana ganja kila leo.
Hahahahaaa sikumuelewa mkuu Dola Mil 230 si ukichaa huo mihela yote hiyoo
 
Sio Dollar laki 2 mkuu.
Dollar laki 2 mbili mbona ya kawaida tu.

Kuna mwanangu keshawahi lamba Dollar laki mbili na sabini, mwaka 2014, lakini leo hii tuna kula pamoja dona dagaa, na kugongeana ganja kila leo.
Ilikuaje mkuu mpaka akafiliska?
 
Hili pambano ni gumu wazee Sana na daraja la kumpeleka mwakinyo viwanho vingine maana akishinda hapa anakuwa anawatafuta akina eubank Junior akifanikwa kuvuka hapo huyu mwakinyo tutakuwa tunamuona huko marekani tu kwa kweli maana atakuwa level kubwa sana
 
Hashindi aisee. Huyo jamaa yupo home Liverpool
 
Upepo unaendaje?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…