Papushikashi
JF-Expert Member
- Feb 28, 2016
- 10,963
- 13,287
wazungu wa buza haoWazungu wenyewe niko nao hapa wamemaind kiseng.e huu upendeleo,kumbe haya majitu nayo maoga sana
Sent from my Infinix X683 using JamiiForums mobile app
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
wazungu wa buza haoWazungu wenyewe niko nao hapa wamemaind kiseng.e huu upendeleo,kumbe haya majitu nayo maoga sana
Kwamba anaweza kosa kupiga kile kimpira akajikuta kajifumua mguu na lile rungu?Ukiambiwa wacheza golf huwa wanaumia utaamini?
Mtu kaziHuyu hapa
huyu dogo ameuza mechi?
Achana naye huyo mikwara mingi, afu bondia gani ana macho ya golori?Huyu hapa
channel namba ngapi niangalie zangu BB maana sina usingizi [emoji2]Tukomae kwenye Big brother ndiyo ulingo wetu,kule kuna pombe na ngono lazima tushinde.
Mwakinyo Makosa Makubwa Aliyo Yafanya
1. Kupiga Goti
2. Mbili Kunyoosha Mikono Kuongea Na Refa Akiwa Amepiga Goti
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Refa Akajua Mkuu Kaamua Kukubari
Chuki ya nini ? Mwakinyo ni overrated narudia hakuna Bondia hapo kama uliwahi muona Rashid Matumla uta elewa na maanisha niniWewe jamaa. Chuki zitakukausha damu
Mia tano na nne chungwan Hong-Kong network.channel namba ngapi niangalie zangu BB maana sina usingizi [emoji2]
Sent from my Infinix X683 using JamiiForums mobile app
Sasa kama mdigo wenu mwenye mbwembwe nyingi miguu haina ushirikiano unatarajia nini? Huyo akikutana na kiduku si atamtoa kamasi ulingoni?😂😂😂
Mchezo ninao upenda utabaki kuwa football tu,fikiria hata nusu saa haijafika game imeisha upuuzi mtupu...
Hapa bongo hakuna tunacho weza labda ushirikina na majunguKwa hiyo kwa Tanzania hapa ukimtoa yeye nani mbadala wake?
michezo ya tozo tupo fiti sana.Tanzania mchezo gani tutauweza ?
Ye mwenyewe kauza mechiLakini Wakulaumiwa hapa ni Mandongaaa Mtu Kazi.
Kwasababu Wenzie wanajua Ukipigwa ndio Unapata Ma deal makubwa makubwa