Hassan Mwakinyo apoteza kwa T.K.O dhidi ya Liam Smith | M&S Bank Arena | Liverpool

Hassan Mwakinyo apoteza kwa T.K.O dhidi ya Liam Smith | M&S Bank Arena | Liverpool

Mwakinyo Makosa Makubwa Aliyo Yafanya

1. Kupiga Goti

2. Mbili Kunyoosha Mikono Kuongea Na Refa Akiwa Amepiga Goti

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Refa Akajua Mkuu Kaamua Kukubari

Japo Yeye Anasema Wazungu Wamemfanyia Fitina kwa Kumpa Viatu Vibovu. Na Alinyoosha Mikono Juu kwasababu Mouth Guard ilikuwa imetoka Lakini Mwakinyo Naye Kwani Hajui Sheria Kuwa Mouth Guard Ikitoka Inatakiwa Afanyaje? Ndio Anyooshe mikoni akiwa Chini?

Kwanini Akubali Kupewa Viatu na wazungu? Wenzie huwa hata Choo walicho andaliwa hawaendi wanaenda Choo cha Mtaani [emoji23][emoji23][emoji23] hata kula Chakula chao huwa ni BIG NOO… wewe unakubali vipi kuvaa viatu vyao?
 
😂😂😂

Mchezo ninao upenda utabaki kuwa football tu,fikiria hata nusu saa haijafika game imeisha upuuzi mtupu...
Sasa kama mdigo wenu mwenye mbwembwe nyingi miguu haina ushirikiano unatarajia nini? Huyo akikutana na kiduku si atamtoa kamasi ulingoni?
 

Attachments

  • Screenshot_20220904-010618_Twitter.jpg
    Screenshot_20220904-010618_Twitter.jpg
    66.5 KB · Views: 3
Back
Top Bottom