Hassan Mwakinyo ndio bora wa wakati wote hapa Tanzania. Wabongo wanataka kumshusha

Hassan Mwakinyo ndio bora wa wakati wote hapa Tanzania. Wabongo wanataka kumshusha

Mleta mada amevamia vitu asivyovijua.

Mwakinyo yupo chini sana kwa sasa.
Mbwana matumla tu nakumbuka lile pambano lake huko Venezuela
Alipoibuka mshindi mpaka donking
Akataka kumpromote ,sema promote wake bongo alimletea figisu
Mwakinyo asione kama yeye ndiyo kafanya mambo makubwa bongo
Kuna mabondia wapo labda yeye hajui
Tu

Ova
 
Ngoja nkupe rekodi ya mbwana matumla tu
Kapigana mapambano 29
Ameshinda mapambano 22
12 KO ,haya tuweke rekodi ya mwakinyo sasa

Ova
Bondia anapigana keko magulumbasi na watu wanashindia bagia acheni chuki
 
Mwakinyo hana akili ya biashara ya kuitoa boxing keko kuipeleka masaki.
Yeye ni kipaji na juhudi kwenye ulingo ila kwenye biashara ni akili ya Kelvin Twissa chini ya kampuni yake ya Jackson Group ambayo inajihusisha na sports marketing.

Na hawapo tu kwenye boxing, wameshaingia hadi kwenye soccer.

Unaweza fuatilia kazi zao kuliko kumpa mwakinyo ukubwa ambao hana kibiashara
 
Watakuja wazee wa Matumla this, snake boy that......
Unajiuliza walikuwa wanaenda uwanjani?
Michezo ilikuwa inaoneshwa kwenye TV?
Au ndio Magazeti ?
Unapata majibu afu unakaa nayo kimya tu.
 
Umenena kweli
Wabongo wanamhukumu kijana eti anaringa kwani kuringa kosa kama anaringa na kipaji ni chake kuna shida gani?
Wanamtafutia sababu wamshushe waharibu kipaji cha kijana
Mwakinyo ni brand ameajiri watu
Ana connection za kimataifa
Anaweza kuwasaidia vijana wengine

Wanaleta ubabaishaji kijana ana exposure na international flights anakataa huo uhuni wanasema eti anaringa

Sio vizuri Mwakinyo muacheni kijana apigania ugali wake hicho chama kiwepo kusaidia vipaji na sio kukomoa na kuharibu Tallent za boxers

Sent using Jamii Forums mobile app
Huyu mnamtetea bure tu tabia zake ndio zinamharibia.... Ajirekebishe atafika mbali, kila mtu mwenye nia njema anamtakia mafanikio lakini jinsi anavyo behave ni Tatizo sana So hamna haja ya kumtetea Sana Issue ni kwamba Yeye ndio ana Uwezo wa kujenga Future yake au Kuibomoa.
 
Watakuja wazee wa Matumla this, snake boy that......
Unajiuliza walikuwa wanaenda uwanjani?
Michezo ilikuwa inaoneshwa kwenye TV?
Au ndio Magazeti ?
Unapata majibu afu unakaa nayo kimya tu.
Matumla walikuwa wanamsoma kwenye magazeti ila wanasema ni hatari tena alikuwa akitafutiwa mabondia wa nje na tapeli malinzi wanaletwa viwete bondia ana kwashakoo anapigwa ngumi mojae anatapika kiepe anapewa mkanda wa mchongo 😅
Mwakinyo kaiepeleka ndondi ushuani na akipanda ata kesho Africa nzima itakaa chini kufatilia pambano
 
Matumla walikuwa wanamsoma kwenye magazeti ila wanasema ni hatari tena alikuwa akitafutiwa mabondia wa nje na tapeli malinzi wanaletwa viwete bondia ana kwashakoo anapigwa ngumi mojae anatapika kiepe anapewa mkanda wa mchongo [emoji28]
Mwakinyo kaiepeleka ndondi ushuani na akipanda ata kesho Africa nzima itakaa chini kufatilia pambano
Matumla kapigana hadi Olympic
Hebu tupe mikanda aliyonayo mwakinyo
Hivi we unamjuwa Rogers mtagwa

Ova
 
Yani jamaa ovyoo sanaa itakuwa alilipwa vimilion kadhaaa in dollar alipozileta bongo bhasi imekuwan dharau bin shomboo na naona anaiga swaga za MAY WEATHER bila kujua mwenzie kibri kimekuja baada ya kupata helaa sasa huyu kengee hana hela za maana ila majivunoo kibao
 
Safari bado ilikuwa mbichi lakini yeye anaona kama imeiva

Ova
 
Safari bado ilikuwa mbichi lakini yeye anaona kama imeiva

Ova
ni mjingaa sanaa yanii ovyoo mnoooo...!! toka lile pambano asingizie viatu sidhani kama kuna promota wa nje alimshobokea tenaa maana ni upuuzi.
 
Life style ya jamaa naona ndiyo kwake
Anaona ndiyo Ana mafanikio

Ova
yaah sema sasa hajui upuuzi wake unaaribu utaratibu na mambo ya watu leo anapigwa ban vilio kila konaa sasa wacha anyooke kwanza. Ukikosa nidhamu utafundishwaa adabu tuu kama Hajii vile
 
yaah sema sasa hajui upuuzi wake unaaribu utaratibu na mambo ya watu leo anapigwa ban vilio kila konaa sasa wacha anyooke kwanza. Ukikosa nidhamu utafundishwaa adabu tuu kama Hajii vile
Kutwa kususasusa mara kununa
Blah blah nyingi, hawa mabondia wa sahvi mipasho mingi wanayo kama wakata mauno waimba singeli amapiano

Ova
 
Back
Top Bottom