Mbwana matumla tu nakumbuka lile pambano lake huko VenezuelaMleta mada amevamia vitu asivyovijua.
Mwakinyo yupo chini sana kwa sasa.
Ngoja nkupe rekodi ya mbwana matumla tuMatumla kafanya nini wewe ushawai muona akipigana au ulitazama picha kwenye magazeti [emoji23][emoji23][emoji23]
Bondia anapigana keko magulumbasi na watu wanashindia bagia acheni chukiNgoja nkupe rekodi ya mbwana matumla tu
Kapigana mapambano 29
Ameshinda mapambano 22
12 KO ,haya tuweke rekodi ya mwakinyo sasa
Ova
We mmbishi Sana tatizoBondia anapigana keko magulumbasi na watu wanashindia bagia acheni chuki
Dogo kweli hujielewi.Bondia anapigana keko magulumbasi na watu wanashindia bagia acheni chuki
Mpuuzi huyu dogoAkikubishia ntamshanga maana najuwa wewe boxing unaijua nje ndani
Tatizo mleta mada kila kitu anakichukulia kama mziki wa bongo
Fleva na mambo ya wasafi
Ova
Huyu mnamtetea bure tu tabia zake ndio zinamharibia.... Ajirekebishe atafika mbali, kila mtu mwenye nia njema anamtakia mafanikio lakini jinsi anavyo behave ni Tatizo sana So hamna haja ya kumtetea Sana Issue ni kwamba Yeye ndio ana Uwezo wa kujenga Future yake au Kuibomoa.Umenena kweli
Wabongo wanamhukumu kijana eti anaringa kwani kuringa kosa kama anaringa na kipaji ni chake kuna shida gani?
Wanamtafutia sababu wamshushe waharibu kipaji cha kijana
Mwakinyo ni brand ameajiri watu
Ana connection za kimataifa
Anaweza kuwasaidia vijana wengine
Wanaleta ubabaishaji kijana ana exposure na international flights anakataa huo uhuni wanasema eti anaringa
Sio vizuri Mwakinyo muacheni kijana apigania ugali wake hicho chama kiwepo kusaidia vipaji na sio kukomoa na kuharibu Tallent za boxers
Sent using Jamii Forums mobile app
Matumla walikuwa wanamsoma kwenye magazeti ila wanasema ni hatari tena alikuwa akitafutiwa mabondia wa nje na tapeli malinzi wanaletwa viwete bondia ana kwashakoo anapigwa ngumi mojae anatapika kiepe anapewa mkanda wa mchongo 😅Watakuja wazee wa Matumla this, snake boy that......
Unajiuliza walikuwa wanaenda uwanjani?
Michezo ilikuwa inaoneshwa kwenye TV?
Au ndio Magazeti ?
Unapata majibu afu unakaa nayo kimya tu.
Aise akikujibu uni tagDogo kweli hujielewi.
Mbwana ana mkanda wa WBA je Mwakinyo ana mkanda gani mkubwa kuzidi mkanda wa WBA?
Matumla kapigana hadi OlympicMatumla walikuwa wanamsoma kwenye magazeti ila wanasema ni hatari tena alikuwa akitafutiwa mabondia wa nje na tapeli malinzi wanaletwa viwete bondia ana kwashakoo anapigwa ngumi mojae anatapika kiepe anapewa mkanda wa mchongo [emoji28]
Mwakinyo kaiepeleka ndondi ushuani na akipanda ata kesho Africa nzima itakaa chini kufatilia pambano
Safari bado ilikuwa mbichi lakini yeye anaona kama imeivaYani jamaa ovyoo sanaa itakuwa alilipwa vimilion kadhaaa in dollar alipozileta bongo bhasi imekuwan dharau bin shomboo na naona anaiga swaga za MAY WEATHER bila kujua mwenzie kibri kimekuja baada ya kupata helaa sasa huyu kengee hana hela za maana ila majivunoo kibao
sawa mwakinyo tumekuelewa.Mwakinyo ni brand kubwa huwezi muokota kama mabondia wengine kina Kiduku.
Pia anapigania Azam afanye investment kama kwenye soka aondoe wababaishaji wa katikati vita yake hiwezi kuwa nyepesi
ni mjingaa sanaa yanii ovyoo mnoooo...!! toka lile pambano asingizie viatu sidhani kama kuna promota wa nje alimshobokea tenaa maana ni upuuzi.Safari bado ilikuwa mbichi lakini yeye anaona kama imeiva
Ova
Life style ya jamaa naona ndiyo kwakeni mjingaa sanaa yanii ovyoo mnoooo...!! toka lile pambano asingizie viatu sidhani kama kuna promota wa nje alimshobokea tenaa maana ni upuuzi.
yaah sema sasa hajui upuuzi wake unaaribu utaratibu na mambo ya watu leo anapigwa ban vilio kila konaa sasa wacha anyooke kwanza. Ukikosa nidhamu utafundishwaa adabu tuu kama Hajii vileLife style ya jamaa naona ndiyo kwake
Anaona ndiyo Ana mafanikio
Ova
Kutwa kususasusa mara kununayaah sema sasa hajui upuuzi wake unaaribu utaratibu na mambo ya watu leo anapigwa ban vilio kila konaa sasa wacha anyooke kwanza. Ukikosa nidhamu utafundishwaa adabu tuu kama Hajii vile