Muhimu kwa mlioko Dar mkamtembelee...ukiwemo wewe, chukua namba yake(Bitchuka mwenyewe) uiweke hapa (kwa ridhaa yake) ili wadau wa mbali na wa karibu waweze kutoa chochote kumsaidia.Ambae ataweza kutupatia mawasiliano yake atakuwa amefanya jambo la maana sana.
Tujitokezeni tumsaidie wakuu,
Karibuni wote kwa suggestions zaidi.
Gere mnanionea mieeeee!!! Kwa kunifanya hasidi×2Nakuonya nakuhaasa wewe zumbukuku, oooo fikiria dunia, inavyokwenda, hapa alishirikiana na kina marehem shaaaban dede.
Kweli mkuu, issue ni namba yake mimi sina connection yoyote ya kuipata ndio mana tunaomba wadau wanaomfaham vzr watusaidieMuhimu kwa mlioko Dar mkamtembelee...ukiwemo wewe, chukua namba yake(Bitchuka mwenyewe) uiweke hapa (kwa ridhaa yake) ili wadau wa mbali na wa karibu waweze kutoa chochote kumsaidia.
Chuma kinaitwa ONYO kali sana mzeeGere mnanionea mieeeee!!! Kwa kunifanya hasidi×2
Wajifanya wajuaaaaa !!!jua litakuwakiaaa!
Utunzi wa chidumulePakua enjoy ufundi wa bitchuka humo ndani mkuu.
nimetoka kuusikiliza mkuu, dah mbona yale mashairi kama,wimbo wajuzi tu. vijana wa siku hizi ndio wanapenda starehe zaidi kuliko future. mwishoni kuna mzigo unakata mauno sanaSasa jaribu kusikiliza wimbo unaitwa "Kipipa Ayubu" akiwa na OSS
Huyo ni cosmas chidumuleSamahani nje kidogo ya mada. Kuna wimbo wa zamani kuna kijipande kinasema "nilipomaliza masomo nilipata kazi'' naomba jina la wimbo.
Ahaa badilisha hapo nimemaliza chuo sijapata kaziii,wazazi wangu walinihusia jinsi ya kuishi na walimwenguSamahani nje kidogo ya mada. Kuna wimbo wa zamani kuna kijipande kinasema "nilipomaliza masomo nilipata kazi'' naomba jina la wimbo.
Unajua mwenzangu karibuni utatoka hospitalini,utokapo tafadhali..fika mjini ....Bichu anaumwa kapumzika kwake Sinza. Jicho lake moja limekufa kbs halioni. Na umri umeenda sana tena sana.. tafuta Dunia kuna Mambo ama Clara ndio utamjua Mbembe wa Kigoma.
Alijenga sinza ndio anaishi huko nitawaletea namba yake keshoAnaishi wapi mkuu, tupe fully details ili kama kuna mdau yoyote atataka kumsaidia basi awe na fully data.
Unaitwa ukiwa aliimba na gurumoDaaa memory inashindwa kuload vzr coz hujafafanua zaid mkuu, ingeza nyama kdg tuukumbuke.
Acha fix basiHuyo ni cosmas chidumule
"umtafute mpaka umuone mchumba wangu Clara.....mchumba wangu Clara..Unajua mwenzangu karibuni utatoka hospitalini,utokapo tafadhali..fika mjini ....
Halafu jamaa nasikia aliishia std 6,Nimetoka kusikiliza moja ya ngoma alizoimba kwa weledi mkubwa, huruma kwa wagonjwa aisee jamaa anajua na nyimbo zake ni darasa tosha.
Mbona nimeelezea hapo juu. Wimbo unaitwa Shukrani kwa Mjomba. Ameimba pamoja Gurumo.Daaa memory inashindwa kuload vzr coz hujafafanua zaid mkuu, ingeza nyama kdg tuukumbuke.
Sio Ukiwa. Unaitwa Shukrani kwa MjombaUnaitwa ukiwa aliimba na gurumo