Hata kabla ya taifa letu kupata uhuru mikutano ya kisiasa haijawahi kuzuia watu kufanya kazi. CCM isipotoshe na kutuoenea wapinzani.

Hata kabla ya taifa letu kupata uhuru mikutano ya kisiasa haijawahi kuzuia watu kufanya kazi. CCM isipotoshe na kutuoenea wapinzani.

Kamanda Asiyechoka

JF-Expert Member
Joined
Sep 13, 2020
Posts
3,315
Reaction score
5,058
Upinzani ni kioo cha jamii maana hukosoa na kuwaambia watawala makosa wanayofanya.

Upinzani kufanya mikutano ya kisiasa na kueleza sera na mikakati ya kukamata dola sio sababu ya kuzuia wananchi kufanya kazi zao.

Mbona hata kabla hatujapata uhuru TANU ilikuwa inafanya mikutano ya hadhara na watu wakaendelea na shughuli zao?

CCM acheni uonevu usio kuwa na mantiki. Huwezi kupambana ngumi na mwenzako huku umemfunga kamba miguuni na mikononi.
 
Back
Top Bottom