Muuza Kangala
JF-Expert Member
- Jul 21, 2021
- 1,242
- 4,813
Chawa wa mama Samia acheni ujinga
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Buku Jero
Chawa wa mama Samia acheni ujinga
Muuza kangala,acha mawenge ya kangala...Sh.1500 imefanyaje!
Wasomi wa siku hizi hawana uthubutu wa kuhoji kuhusu haki zao za msingi. Kupitia uongozi wao wa wanachuo, wanakosa namna bora ya kuwasiliana na hatimaye kutafuta makubaliano ya pamoja juu ya haki zao za msingi.
Yule shetani wa Chato hakuwahi kupandisha hata kwa Tsh 100/- over a period of five years. Kama huwezi kuona alichoongeza Samia basi kichwa chako kimebeba mifupa na misuli tu. Akili hamna.
Ungekuwa umesoma hesabu usingeandika UPUMBAVU huo hapo juu. Tsh 1,500 ni 17% ya Tsh 8,500 waliyokuwa wanapata awali. Kwa mwezi ni sawa na ongezeko la Tsh 45,000.
Dead youth nation
Hahaha, ukiona haya ujue ule mwisho umekaribia Mathayo 24Buku jero ya kucheza Biko Mshiko Nje-Nje
Yaani msomi kabisa unakili wanachuo walikuwa Wana fanya umalaya na kubet!na sasa wameacha,sababu ilyofanya waache,ni Raisi kuongeza pesa ya kujikimu!
Chawa vip.Ungekuwa umesoma hesabu usingeandika UPUMBAVU huo hapo juu. Tsh 1,500 ni 17% Tsh 8,500 waliyokuwa wanapata awali. Kwa mwezi ni sawa na ongezeko la Tsh 45,000.
Kama unabeza hili ongezeko ambalo ni kubwa kuliko ongezeko ambalo wafanyakazi walipata mwaka jana basi wewe ni kiazi mbatata
Ni ujinga tupu wala hakuna la maana
Habari ya asubuhi ndugu mtekaji!Dead youth nation