DolphinT
JF-Expert Member
- Mar 9, 2016
- 2,014
- 2,979
Upuuzi mtupu alioungea huyu hafai kuitwa msomi wa chuo kikuu! Kwanza tujue kwanza umri wake, familia aliyotokea pamoja na chuo anachosoma! Na nafasi yake katika uongozi wa serikali ya wanafunzi!
Ni mpuuzi pekee atakayekaa kwenye media asifie kupita kiasi kwa ongezeko la 1500 ambayo atakuja kuilipa yeye akidhani Ni hisani! Huko mbele Kuna Giza la ajira hajui hatma yake anaishi kinadharia. Basically hajaangalia rate ya mfumuko wa bei za bidhaa na huduma in relation to hiyo buku jero iliyoingizwa katika Deni au mkopo wake.
Hapo nyuma, universities zilikua Ni think Tank ya Taifa, lakini Sasa wamekua walamba matako wa wanasiasa na hawawezi kunyoosha kidole pale wanapoona Mambo hayaendi sawa katika Nyanja zote za serikali!
Ni aibu kubwa Sana kwa mwanafunzi wa Elimu ya Juu kuhusisha wanafunzi wenzako na kubeti na udangaji! Hii inatoa picha kwamba siku za nyuma kabla ya ongezeko la fedha za kujikimu, wanafunzi walikua wanajihusisha na tabia hizo Jambo linalopelekea taswira mbaya kwa vyuo vyetu pamoja na wazazi ambao Wana matarajio makubwa kwa vijana wao!
Swali Ni kwamba 1500 itamuepusha mwanamke mdangaji au mwanaume mkamaria na tabia hiyo? 1500 ambayo hata RB Huwezi kupata ukiacha soda na maji ya kunywa?
Ingekua enzi zile wanafunzi wa vyuo vikuu wangeandamana kuupinga huu ujinga na upumbavu aliouzungumza huyu Kichaa! Mkumbusheni yakiyokua yamkute Marehemu Efraim Kibonde katika kipindi cha Jahazi alipoongea ule upumbavu wake.
Tumekuja kuwa na vijana wa hovyo! Kuna Mambo ya kuzingumza kwenye media publicly Kama mwanazuoni ukaeleweka kuwa unatoa hoja za kisomi kuhusu Mambo hayo hayo ya boom. Sio ujinga huu!
Kuna mwanafunzi X wa UDSM nilimuuliza unapafahamu REV square? Akaniambia hiyo sehemu haipo chuo kikuu Cha dar es salaam! Ilihali na yeye Ni kiongozi wa DARUSO! Mbaya zaidi Ni Mwanafunzi wa Ualimu na zaidi ya hapo Ni H***ual!
Nikajiuliza Nini hatma ya watoto wetu,? Kama Hawa tutaenda kuwapa dhamana ya kuwalea na kuwasaidia kufikia malengo yao kitaaluma na waweze kutoa mchango wao katika maendeleo ya familia zao na Taifa lao.
Nikajiuliza Tena Kama huyu Ni Mwanafunzi wa UDSM inayoaminika kuwa among the best Universities in Africa ,tayari Yuko hivi na Wala hajui wajibu wake kwa Taifa yeye pamoja na uongozi alionao Nini hatima ya mama Tanzania?
Si ajabu Basi kukutana na Hawa wa Aina hii wanaoenda kwenye media ili waonekane kuwa Ni wasifiaji na Ni rahisi kutumika kwa kutweza utu wao ili wapate kula na madaraka kwa gharama ya mateso ya wengine