Hata kama uko nje ya nchi usiamini sana watu wa karibu ndo wauza Taarifa na kukamatishana

Hata kama uko nje ya nchi usiamini sana watu wa karibu ndo wauza Taarifa na kukamatishana

britanicca

Platinum Member
Joined
May 20, 2015
Posts
18,261
Reaction score
48,864
Watu mnajidanganya sana kwamba mtu akiwa nje ya Tanzania hawezi kamatwa, it depends na nchi , kama uko Russia, Japan, China, Au Asia kwa Ujumla kukukamata ni rahisi sana , ila kama ni Marekani na baadhi ya nchi za ulaya si rahis, labda iwe kesi ya Jinai

Mataifa hayo hayana mambo ya Uhuru wa maoni propably watashirikiana na wanaokusaka hata kuwapa ulinzi na Ushirikiano waliotumwa ili ukamatwe,

Tatu, epuka sana kujulikana we ni nani hata marafiki wasijue account zako za mtandaoni kama ni mtoa maoni mbadala wa serikali yetu

Epuka kabisa Kwenda kwenye sijui Umoja wa watanzania waishio nchi husika itakuwa kwako, ishi kivyako, haya mambo ya kujiandikisha ubalozini sijui Umoja wa watanzania waishio nchi fulan ni red flag namba moja

Epuka ku associate na watanzania uwapo nchi zisizojali haki za binadamu, ambazo ziko chini ya madikteta


Britanicca
 
Kukamatwa ni ngumu.kama ni raia wa huko ila unaweza kumtoa vipi, Unakumbuka nigeria na mpinzani kule wingereza ilifanya diplomatic kuwa ngumu.

dot nyingine japan imekumbwa na majanga.
 
Back
Top Bottom