Hata kama uko nje ya nchi usiamini sana watu wa karibu ndo wauza Taarifa na kukamatishana

Hata kama uko nje ya nchi usiamini sana watu wa karibu ndo wauza Taarifa na kukamatishana

Hizo nchi zinaheshimu mamllaka ya viongozi wenzao wa mataifa mengine. Bravoo
Screenshot_20260805-225318.png

Account za lucas mwashambwa fatilieni yani utazani wapo studio wanafata mtunzi wa nyimbo.Neno ilo ilo majibu hayo nyie CCM ni vilaza wa ostabey polisi.
 
Watu mnajidanganya sana kwamba mtu akiwa nje ya Tanzania hawezi kamatwa, it depends na nchi , kama uko Russia, Japan, China, Au Asia kwa Ujumla kukukamata ni rahisi sana , ila kama ni Marekani na baadhi ya nchi za ulaya si rahis, labda iwe kesi ya Jinai

Mataifa hayo hayana mambo ya Uhuru wa maoni propably watashirikiana na wanaokusaka hata kuwapa ulinzi na Ushirikiano waliotumwa ili ukamatwe,

Tatu, epuka sana kujulikana we ni nani hata marafiki wasijue account zako za mtandaoni kama ni mtoa maoni mbadala wa serikali yetu

Epuka kabisa Kwenda kwenye sijui Umoja wa watanzania waishio nchi husika itakuwa kwako, ishi kivyako, haya mambo ya kujiandikisha ubalozini sijui Umoja wa watanzania waishio nchi fulan ni red flag namba moja

Epuka ku associate na watanzania uwapo nchi zisizojali haki za binadamu, ambazo ziko chini ya madikteta

Britanicca
kwa kifupi,
ishi kwa wasiwasi kama digidigi au sungura, amani kwako iwe anasa.🐒
 
Kazi za kina Muhina hizo.
 
Mahali popote kama ukiona unakinzana na majambazi ya CCM ni muhimu kuwa makini na watu unaochangamana , kuna mwingine humu mwaka alikuja mahali kwa cover yake ya uandishi wa habari akijidai anahoji maisha ya diaspora na nini wamewekeza Tanganyika akijidai anataka kupromote mafanikio yao maana anaanda documentary

Kumbe kuna mtu wanamlenga bahati nzuri nae alikua mbele ya muda akafikisha taarifa anafuatiliwa mahali panapohusika vyombo makini vya wenzetu faster wakachukua hatua na kumuelekeza cha kufanya pengine huyo mtu angesogea target hiyo asingerudi Tanzania.
 
Yule malaya alikuwa anaishi Japan kwa kibali, hakuwa raia, kwa hiyo kurudishwa sio jambo geni, hata raia wa UK wa ze utamu blog alidakwa kwa kushirikiana na polisi wa UK na kurudishwa.
Kuna tofauti ya kufanya siasa na kufanya upumbavu mitandaoni kwa kisingizio cha upinzani

1785966708948.png
 
Back
Top Bottom