Hata kama uko nje ya nchi usiamini sana watu wa karibu ndo wauza Taarifa na kukamatishana

Yule malaya alikuwa anaishi Japan kwa kibali, hakuwa raia, kwa hiyo kurudishwa sio jambo geni, hata raia wa UK wa ze utamu blog alidakwa kwa kushirikiana na polisi wa UK na kurudishwa.
Kuna tofauti ya kufanya siasa na kufanya upumbavu mitandaoni kwa kisingizio cha upinzani

View attachment 3644049
Yule hata kama asingekamatwa na picha ya Kikwete mtu angewastua Polisi pale UK alikua analinyea debe. Yeye hakua anafanya siasa bali alikua anaweka picha mpaka za watu wa kawaida wanaishi Uk kwa kuwaaibisha. Lile ni kos a la Jinai kwa UK
 
Watu mnajidanganya sana kwamba mtu akiwa nje ya Tanzania hawezi kamatwa, it depends na nchi , kama uko Russia, Japan, China, Au Asia kwa Ujumla kukukamata ni rahisi sana , ila kama ni Marekani na baadhi ya nchi za ulaya si rahis, labda iwe kesi ya Jinai

Mataifa hayo hayana mambo ya Uhuru wa maoni propably watashirikiana na wanaokusaka hata kuwapa ulinzi na Ushirikiano waliotumwa ili ukamatwe,

Tatu, epuka sana kujulikana we ni nani hata marafiki wasijue account zako za mtandaoni kama ni mtoa maoni mbadala wa serikali yetu

Epuka kabisa Kwenda kwenye sijui Umoja wa watanzania waishio nchi husika itakuwa kwako, ishi kivyako, haya mambo ya kujiandikisha ubalozini sijui Umoja wa watanzania waishio nchi fulan ni red flag namba moja

Epuka ku associate na watanzania uwapo nchi zisizojali haki za binadamu, ambazo ziko chini ya madikteta

Britanicca
Dada yako dangwa juzi kaomba msamaha ..
Akadajibiwa kuwa umesamehema huku na huku karubuniwa mawasiliano yale amwagiwe hela ili awashushue wanaharakati wenzake akakubali katiwa hela mwishowe kadukuliwa kabambwa..
Naomba niishie hapo
 
Watu mnajidanganya sana kwamba mtu akiwa nje ya Tanzania hawezi kamatwa, it depends na nchi , kama uko Russia, Japan, China, Au Asia kwa Ujumla kukukamata ni rahisi sana , ila kama ni Marekani na baadhi ya nchi za ulaya si rahis, labda iwe kesi ya Jinai

Mataifa hayo hayana mambo ya Uhuru wa maoni propably watashirikiana na wanaokusaka hata kuwapa ulinzi na Ushirikiano waliotumwa ili ukamatwe,

Tatu, epuka sana kujulikana we ni nani hata marafiki wasijue account zako za mtandaoni kama ni mtoa maoni mbadala wa serikali yetu

Epuka kabisa Kwenda kwenye sijui Umoja wa watanzania waishio nchi husika itakuwa kwako, ishi kivyako, haya mambo ya kujiandikisha ubalozini sijui Umoja wa watanzania waishio nchi fulan ni red flag namba moja

Epuka ku associate na watanzania uwapo nchi zisizojali haki za binadamu, ambazo ziko chini ya madikteta

Britanicca
Screenshot_20260808_174514_Google.jpg
Screenshot_20260808_174526_Google.jpg

Wewe mvaa shanga wa Kizimkazi njoo na Canada ututeke na sisi Canadian citizens, we ain't scared.
 
Back
Top Bottom