Mahali popote kama ukiona unakinzana na majambazi ya CCM ni muhimu kuwa makini na watu unaochangamana , kuna mwingine humu mwaka alikuja mahali kwa cover yake ya uandishi wa habari akijidai anahoji maisha ya diaspora na nini wamewekeza Tanganyika akijidai anataka kupromote mafanikio yao maana anaanda documentary
Kumbe kuna mtu wanamlenga bahati nzuri nae alikua mbele ya muda akafikisha taarifa anafuatiliwa mahali panapohusika vyombo makini vya wenzetu faster wakachukua hatua na kumuelekeza cha kufanya pengine huyo mtu angesogea target hiyo asingerudi Tanzania.