Hata kama uko nje ya nchi usiamini sana watu wa karibu ndo wauza Taarifa na kukamatishana

kwa kifupi,
ishi kwa wasiwasi kama digidigi au sungura, amani kwako iwe anasa.🐒
 
Kazi za kina Muhina hizo.
 
Mahali popote kama ukiona unakinzana na majambazi ya CCM ni muhimu kuwa makini na watu unaochangamana , kuna mwingine humu mwaka alikuja mahali kwa cover yake ya uandishi wa habari akijidai anahoji maisha ya diaspora na nini wamewekeza Tanganyika akijidai anataka kupromote mafanikio yao maana anaanda documentary

Kumbe kuna mtu wanamlenga bahati nzuri nae alikua mbele ya muda akafikisha taarifa anafuatiliwa mahali panapohusika vyombo makini vya wenzetu faster wakachukua hatua na kumuelekeza cha kufanya pengine huyo mtu angesogea target hiyo asingerudi Tanzania.
 
Yule malaya alikuwa anaishi Japan kwa kibali, hakuwa raia, kwa hiyo kurudishwa sio jambo geni, hata raia wa UK wa ze utamu blog alidakwa kwa kushirikiana na polisi wa UK na kurudishwa.
Kuna tofauti ya kufanya siasa na kufanya upumbavu mitandaoni kwa kisingizio cha upinzani

 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…