Hata kama uko nje ya nchi usiamini sana watu wa karibu ndo wauza Taarifa na kukamatishana

Alijiachia mno! Mara aseme anauza magari Mara aingie kwenye siasa na kuvuka mipaka bila kuwa anonymous alizingua, kwasababu hao hao watajifanya ni wateja wako kumbe wakamataji
Racheldangwa hakupaswa kujihusisha na siasa au harakati alizokuwa anafanya.

Namna alivyokuwa ana wasilisha mada na taarifa zake kuna namna alikuwa ni kama mtu asiyekuwa sawa kisaikolojia.

Wanaharakati wengi sana hawana uelewa wa mambo ya usalama na kujilinda
 
Alitupanga sana yule mzee kumbe alikua na agenda yake binafsi, mara asifie CRDB huduma hadi kwa Mabeberu, akaleta thread ya mama wa Sanya Juu mwenye hela nyingi lakini hajawekeza home.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…