Kijana wa Ifoza
JF-Expert Member
- Oct 31, 2025
- 1,180
- 2,302
Yule hata kama asingekamatwa na picha ya Kikwete mtu angewastua Polisi pale UK alikua analinyea debe. Yeye hakua anafanya siasa bali alikua anaweka picha mpaka za watu wa kawaida wanaishi Uk kwa kuwaaibisha. Lile ni kos a la Jinai kwa UKYule malaya alikuwa anaishi Japan kwa kibali, hakuwa raia, kwa hiyo kurudishwa sio jambo geni, hata raia wa UK wa ze utamu blog alidakwa kwa kushirikiana na polisi wa UK na kurudishwa.
Kuna tofauti ya kufanya siasa na kufanya upumbavu mitandaoni kwa kisingizio cha upinzani
View attachment 3644049
Mtoto wa kibosile kama jina ukoo linavyosema, alichapwa vibao kwenye kiganja na kuambiwa asirudie tenaHuyu naye ameishia wapi?
Dada yako dangwa juzi kaomba msamaha ..Watu mnajidanganya sana kwamba mtu akiwa nje ya Tanzania hawezi kamatwa, it depends na nchi , kama uko Russia, Japan, China, Au Asia kwa Ujumla kukukamata ni rahisi sana , ila kama ni Marekani na baadhi ya nchi za ulaya si rahis, labda iwe kesi ya Jinai
Mataifa hayo hayana mambo ya Uhuru wa maoni propably watashirikiana na wanaokusaka hata kuwapa ulinzi na Ushirikiano waliotumwa ili ukamatwe,
Tatu, epuka sana kujulikana we ni nani hata marafiki wasijue account zako za mtandaoni kama ni mtoa maoni mbadala wa serikali yetu
Epuka kabisa Kwenda kwenye sijui Umoja wa watanzania waishio nchi husika itakuwa kwako, ishi kivyako, haya mambo ya kujiandikisha ubalozini sijui Umoja wa watanzania waishio nchi fulan ni red flag namba moja
Epuka ku associate na watanzania uwapo nchi zisizojali haki za binadamu, ambazo ziko chini ya madikteta
Britanicca
acha waliwe viboga.
Watu mnajidanganya sana kwamba mtu akiwa nje ya Tanzania hawezi kamatwa, it depends na nchi , kama uko Russia, Japan, China, Au Asia kwa Ujumla kukukamata ni rahisi sana , ila kama ni Marekani na baadhi ya nchi za ulaya si rahis, labda iwe kesi ya Jinai