GENTAMYCINE
JF-Expert Member
- Jul 13, 2013
- 63,685
- 128,178
- Thread starter
-
- #41
Bahati nzuri tunajuana na uajua nitakachokufanyia kesho pure talented and charismatic fella popoma nyabenger🤣🤣🤣🤣🤣
Na chadema si walisema lowasa Ni fisadi halafu mkasema Ni msafi sio fisadi Tena ni mtakatifu na barabara mkapiga deki(ingawa majumbani/vyumbani kwenu hampigi deki) na mkamuuzia na nafasi ya kugombea uraisiNyie maccm hamnaga msimamo wowote ulio thabiti.
1: Mlituaminisha kuwa Lowasa baada ya kuhamia cdm mkasema hakuna mtu mchafu kama Lowasa, leo mwenye chama anamrudisha ccm mnaanza kumsifu na kumtukuza.
2: Kikwete wakati anaongoza mlimsifia na kumuita kuwa ni chaguo la Mungu lkn baada ya kumaliza muda wake leo hii mnamponda kuwa kwenye awamu yake hakuna kilichofanyika zaidi ya awamu ya tano.
Hamna la kutwambia nyinyi wanafiki wazee wa fuata upepo tu.
Wacha ushamba wewe kulazimisha watu wakubali unachotaka wewePessimistic.
Wacha mkwara ya kihindi wewe mkurya
Mwenzenu huyu anashindwa hata kujieleza, dhambi zinawatafunaYou're a patterned Ignoramus.
Cc: Kipangaspecial, Daudi Mchambuzi
Mkuu hata Mimi linanishangaza sana hilo na huwa nafikia hitimisho kuwa ni mada za kijinga mno.Yaani maajabu ya TZ hata uchaguzi bado wa muhula wa pili watu wanaongelea kuongezwa muda mwaka 2025!!!! the comedy hasa
Huyu nammudu Ni mshamba flan Yuko bandarini. Ni komedian wetu humu watu hufurahi kusoma nyuzi zake ila ana mkosi wa mikasi(ban) kwenye nyuzi zake zenye ukakasi.[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Hivi wakisema kabisa Watoto wa Mjini wajitokeza hadharani na Mpuuzi Mwandamizi kabisa kama Wewe Utathubutu kabisa Kujitokeza mbele yao?
Huyu nammudu Ni mshamba flan Yuko bandarini. Ni komedian wetu humu watu hufurahi kusoma nyuzi zake ila ana mkosi wa mikasi(ban) kwenye nyuzi zake zenye ukakasi.🤣🤣🤣🤣
Kumbe Siku hizi Mnyarwanda tena kutoka Kabila lililobarikiwa Upeo ( Akili ) na Mwenyezi Mungu la ' Tutsi ' ni Mkurya kutoka Tanzania? Kalale tu!
Huyu Bashiru Ally ina maana anajifanya anajua kuliko Spika Ndugai?
Lamebrain.
Pole sana nitakupitia hapo tpa mimi nipo hapa Tics
Punguza ushamba mkuu kamwe huwezi kulazimisha chaguo lako lipendwe na wenzako
Mizimu yake bado ipo kazini.Labda wewe una ajenda nyingine, Nyerere anamuongoza nani leo hii? Muwacheni mzee wetu ajipumzikie kwa amani.
Nimeingia kwenye national database ya rwnd hakuna kombinesheni ya haya majina sloth brained popoma😂😂 tukutane msimbzi jioniTangia lini Mkulima, Mfugaji na Mvuvi mwenye Majina yangu halisi ya Kalemera Rwigyema Mazimpaka kutoka hapa Rwanda nikawa hapo TPA?