Hata mimi 'ningemshangaa' Mwenyekiti na Rais wangu ninayemuheshimu kama angefanya upuuzi huu

kwa mwonekaano JPM kashachoka anataka miaka mi5 tu amalize kazi zake ambazo kwa asilimia kubwa ziko mwisho.hizo ngonjera sijui waccm tupa kule
 
Ni nani asiyejua kuna "CCM Mpya", CCM tofauti kabisa na ile aliyoiunda Mwalimu Nyerere. Pia kuna "Tanzania Mpya" inaundwa, Tanzania ambayo Mwalimu akirudi hawezi kuitambua kuwa ndiyo nchi aliyohusika kuiasisi na kuiunda.

Tanzania ya watu wanaotakiwa kusikiliza ya mtu mmoja tu anayemiliki wanyonge.

Hayo ya kutumia jina la Mwalimu kuwahadaa watu, litakubaliwa na wanyonge tu wasiotakiwa kuhoji lolote.
 
 
Labda wewe una ajenda nyingine, Nyerere anamuongoza nani leo hii? Muwacheni mzee wetu ajipumzikie kwa amani.
Mwalimu amepumzika lakini Mfumo aliouacha bado unaendesha nchi.

Kwanza ni Urais usiohojika kutokana na Katiba ya Jamhuri ya mwaka 1962.

Pili ni kuingiza Siasa na ukada jeshini baada ya maasi ya 1964, kuhakikisha kuwa viongozi wa jeshi wanakuwa watiifu kwa chama

NK ..
.
 
Miaka 5 inatosha alichoiba kinamtosha mfano wizi wa Tl1.5
 
Labda wewe una ajenda nyingine, Nyerere anamuongoza nani leo hii? Muwacheni mzee wetu ajipumzikie kwa amani.
Nyerere yupo na anatawala katika msingi aliojenga ,kaa hapo
 
Swala la ukomo wa muhula wake Magufuli alishaliweka bayana muda mrefu sana.
 
weka clip
 
Hata mimi nimejilazimisha tu mkuu, jamaa haeleweki
Una bahati sana kwamba umeelewa anasema nini. Mimi hata nisome bandiko lake hili mara mia, nina hakika sitaelewa kitu.
 
Kwa misingi hiyo ndiyo maana tunaikataa kabisa, hatupo tayari kuendelea na hiyo mifumo kandamizi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…