Hata mimi 'ningemshangaa' Mwenyekiti na Rais wangu ninayemuheshimu kama angefanya upuuzi huu

Kina Kibajaj
 
Watu wa kubadili sana kauli hawa!! Wanahadaa sidhan kama ni busara sana kuwaamini. Wasikilize tu af bas
 
Katika watu utoporo wewe no,1
 
Wewe popoma ulipotea
 
Nimeingia kwenye national database ya rwnd hakuna kombinesheni ya haya majina sloth brained popoma😂😂 tukutane msimbzi jioni

Sasa kama umeshindwa tu kujua ya kwamba hapa Kwetu nilipo nchini Rwanda kuna Majina hayo ya akina Kalemera Rwigyema Mazimpaka unaweza kweli kuwa na IQ ya Kubishana na hata Kujenga Hoja nami? Yupo Mkuu wa Shirika la Ndege Rwanda jina lake linaanzia na la Kalemera, alikuwepo Kamanda wa Kijeshi mkubwa tu Rwanda aliyeitwa Rwigyema na pia alikuwepo huko nyuma Waziri wa Mambo ya nje wa Rwanda akiitwa Mazimpaka. Rudi tena huko Google na katika hiyo Database yako ukawatafute ili ujiridhishe kuwa haya Majina yote ni ya Kinyarwanda tena kutokea Kabila la Tutsi. Naendelea Kusisitiza nikiwa nakudharau hadi kukuita Mpumbavu usiwe unakataa tafadhali kwani ndivyo ulivyo.

Cc: Mmawia, mtu chake, Kipangaspecial
 
Mkuu, hiyo ni nyota gani, inapatikana wapi??!

Kwa Mtoa Nyota Mkuu ambaye ni Mwenyezi Mungu mwenyewe ambaye pia ndiyo Mungu wa Ibrahim, Isaka na Yakobo. Na hatoi kwa kila Mtu tu.
 
Tumeshasave hii kauli ya Bashiru, tutamkumbusha siku akibadili maneno
 
Hata Kagame alisema hivyp hivyo ila Mwenyekiti wako ni Kigeugeu alisema kazi ya urais ni ngumu sana anajuta kwanini aliomba cha kushangaza mwaka huu kachukua form peke yake!!
 
Usiwepo JF unajeuri hiyo?mtu una mi ID lukuki unataka umdanganye nani..
 
Kikwete juzikati alienda Burundi kama serikali kumzika Bwana Mvunja demokrasia Nkurunzinza! Pia Mkwere alihudhuria kuapishwa Ramaphosa kama serikali! Magufuli amalize Stieglers na SGR na barabara zote na viwanda vijengwe akitoka madarakani kila mahali duniani watakuwa wakimwita kuwafundisha kusimamia serikali kisawasawa na kupiga nae picha!!

Namuona Magufuli kama mshauri wa maRais wote wa bongo watakaokuja baada yake na wengineo Afrika na duniani ,Magu ameshajijengea heshima kubwa mno duniani ni celebrity hana haja ya kusalia madarakani manake atawaachia Ikulu tu na kila siku Marais wajao watamfuata alipo awaelekeze njia bora aliyotumia kusimamisha reli!!

Magu will continue to be our Presidaa in the background/shadow kwa miaka yake yote atakayokuwa hai.
 
GENTAMYCINE,

Huyu hatakubali sawa, lakibi tutamlazimisha, na Hana choice ktk hili! Sisi ndio tunaamua siyo yy!
Mh. Rais Magufuli siyo mjinga. Hawezi kukubali kuharibiwa heshima yake na wapumbavu wachache wanafiki.

Hata kabla ya Bashiru, Magufuli mwenyewe alikwishatoa kauli mara kadhaa.

Mpumbavu akikushauri mtu mwerevu, halafu wewe mwerevu ukaukubali ushauri wake wa kipumbavu, utadharaulika.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
We ita ni upumbafu, Ila sisi tunaoitakia mema nchi yetu tunaelewa upumbafu na wapumbafu hasa ni Akina Nani! Anyway, gonna tufike daraja I!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…