Nimekuuliza swali jengine wewe unaniambia habari za kijijini kwetu. Kwani mapungufu maana yake nini huko mjini kwenu?Inategemea kijijini kwenu walivyokuhadithia na kukufafanulia mapungufu ni nini!
Umeongea vyema sanaTafasiri nyingine kwa sababu yeye Mama alijua katiba inasema akifa yeye ndiye mrithi maana yake alimuua ili awe rais. Yaani sijui Mama kama huwa anapima kauli zake
Ni sahihi. Lakini ikijakutokea kwake(hatuombei), isionekane ni ubaguzi wa kijinsia.Muache atoe ya moyoni mwake ili tumuelewe hakuwa pamoja naye katika baadhi ya mambo.
"... emotional intelligence...",! EeenHee, hapa umenibomu!Naelewa sasa kwa nini emotional intelligence ni muhimu kwa viongozi wote.
👍Tafasiri nyingine kwa sababu yeye Mama alijua katiba inasema akifa Dkt Magufuli yeye ndiye mrithi maana yake alimuua ili awe rais. Yaani sijui Mama kama huwa anapima kauli zake. Na ndiyo maana inaonekana hata siri za nchi labda alikuwa anazotoa kwa akina kigogo na mange kimambi, ila inasikitisha sana. Na kauli yake ya kazi iendelee kumbe your nawezekana ni kuendelea kuiibia nchi na kurudisha utawala wa kidhalimu na wa kifisadi. Tumuombee Mama yetu Mungu amfunue hilo blanketi machoni pake. Ila kama ni laana ya kumtenda Dkt Magufuli hakika kila afanyalo litakuwa anguko na ndiyo maana tunashuhudia yale yote yaliyopo mitaani kama minong’ono Mama anayasema hadharani na kudhihilisha kumbe kama vile alishiriki
Ni wewe ndiye huwezi kwa vile umejidogosha kama Mwafrika wa ChatoHuwezi kulinganisha huyu wa kwetu na hao.
Kama ilivyo kwa jinsia zote, kuna exceptional cases. Ndio hao unaowataja.
Wewe unatumia akili za kufa, sawa hayawani unayemwabudu MwendazakeWe mburula tumia akili za kuzaliwa ukiwa unafanya comparison
Kuzungumzia kweli ya mambo ni kumuabudu mtu?Wewe unatumia akili za kufa, sawa hayawani unayemwabudu Mwendazake
Mo dewji kakulipia platinum membershipNaona leo mmechachamaa
🤣🤣🤣🤣 lipia tu mkuu,sio pesa nyingiMo dewji kakulipia platinum membership
Kweli kabisa hata kipindi Hayati Magufuli anamwapisha PM Majaliwa Dodoma November 2020 (Then, VP) Samia alisema"Rais Magufuli hapo mwanzoni tulipata taabu kidogo kukuelewa lakini sasa hivi tumeelewa unachotaka"Muache atoe ya moyoni mwake ili tumuelewe hakuwa pamoja naye katika baadhi ya mambo.
Kwa kweli Magufuli alikuwa stubborn na mwenye ukatili mkubwa wacha mambo yawekwe wazi na kila mtu kuanzia Samia aliyevumilia sana hadi wamachinga waliodanganywa vibaya.Mbona mkuu wa nchi yetu kama anafanya ndivyo sivyo? Kuongoza nchi kumbe kazi sana. Upo nje kwenye ziara ya kikazi alafu unaeleza kwenye media kubwa kama NY times kuwa mtangulizi wako alikuwa stubborn, hii inaleta picha gani?
Hukuwa na raha wakati unafanya nae kazi pamoja kiasi cha kumchukia kwa kutofuata ushauri wako wakati wewe ulipokuwa msaidizi wake?
Ulifanya nae kazi huku ukiwa na kinyongo maana alikuwa mkaidi?
Ina maana ulikuwa unacheka nae hadharani lakini moyoni humtaki sababu ni stubborn?
Lakini mbona hata Mwl Nyerere inasemekana wazi kabisa alikuwa mkaidi juu ya kufuata ushauri wa wasaidizi wake mpaka ilifikaia hatua akaitwa baba haambiliki, hatujawahi kusikia Mzee Mwinyi au Mkapa wakimnanga huko mamtoni?
Inasemekana alishauriwa masuala mengi tu na akakaidi, mfano aliambiwa asihamishe watu kwenye miji yao kwa ajili ya vijiji vya ujamaa lakini akawahamisha. Jambo ambalo lilileta lawama kubwa. Lakini hatikusikia akipondwa huko nje. Alishauriwa asiijifanye yeye ni superpower wa Afrika lakini akakag'ag'ania kupeleka majeshi Msumbiji, Zimbabwe na Uganda ,mataokeo yake Tanzania ikakwama kiuchumi.
Tunajichafua sisi Watanzania huku wazungu wakitucheka.
Alimchenjia kinyama!Huyo alipata kwenda Nairobi kwa shughuli nyingine na alienda hospital ya Nairobi kumuona Lissu inasemwa aliporudi Tz, Magu alimchenjia kinyama kama post ya umakamu isingekuwa ya mgombea mwenza mama kibarua kingeota nyasi.
Huyo.ndiye alikuwa Magu asiyetabirika, mambo mengi aliyafanya kwa amri zake mwenyewe ikizingatiwa Makabila ya kanda ya ziwa wanadharau sana wanawake.
Mungu fundi. Mjamaa hakuwa mtz ndio maana faster akamfinyaMbona mkuu wa nchi yetu kama anafanya ndivyo sivyo? Kuongoza nchi kumbe kazi sana. Upo nje kwenye ziara ya kikazi alafu unaeleza kwenye media kubwa kama NY times kuwa mtangulizi wako alikuwa stubborn, hii inaleta picha gani?
Hukuwa na raha wakati unafanya nae kazi pamoja kiasi cha kumchukia kwa kutofuata ushauri wako wakati wewe ulipokuwa msaidizi wake?
Ulifanya nae kazi huku ukiwa na kinyongo maana alikuwa mkaidi?
Ina maana ulikuwa unacheka nae hadharani lakini moyoni humtaki sababu ni stubborn?
Lakini mbona hata Mwl Nyerere inasemekana wazi kabisa alikuwa mkaidi juu ya kufuata ushauri wa wasaidizi wake mpaka ilifikaia hatua akaitwa baba haambiliki, hatujawahi kusikia Mzee Mwinyi au Mkapa wakimnanga huko mamtoni?
Inasemekana alishauriwa masuala mengi tu na akakaidi, mfano aliambiwa asihamishe watu kwenye miji yao kwa ajili ya vijiji vya ujamaa lakini akawahamisha. Jambo ambalo lilileta lawama kubwa. Lakini hatikusikia akipondwa huko nje. Alishauriwa asiijifanye yeye ni superpower wa Afrika lakini akakag'ag'ania kupeleka majeshi Msumbiji, Zimbabwe na Uganda ,mataokeo yake Tanzania ikakwama kiuchumi.
Tunajichafua sisi Watanzania huku wazungu wakitucheka.
Upo sahihi kabisa, huo ndio mtindo wa viongozi wetu kuponda watangulizi wao.Muasisi wa kuponda wenzake lazima apondwe rejea hotuba zake kadhaa amewabagaza sana kina Kikwete
Viongozi wetu wana 'ndimi mbili' ?Mtu anayetafuta sifa kwa nguvu zote ikiwa ni pamoja na kutumia propaganda zisizo na ukweli, huwa hana limit ya maneno; atazungumza lolote ili mradi tu asifiwe. Siku akienda Chato atasema kuwa yeye na Magufuli walikuwa kitu kimoja, hawezi kusema hayo anayosema huko ughaibuni kam ni kweli aliyasema hakusingiziwa.
Huyo tulisha sema ni zuzu hana akili chifu mafii ya kuku yupo mjengoni kujaza mafiiii tu no more
Hizi chuki zako zitaendelea kukutesa ukiziendekeza.Kawaida ya marais wote waislamu tulionao tz wanapenda kusujudia wazungu "mabeberu" kama mungu wao...kwao wabeberu ni ALLAH