Hata Mwl Nyerere ilifikia kipindi akaitwa kiongozi asiyeambilika, lakini hatujawahi kusikia viongozi waliomfuata wakimkosoa hadharani ughaibuni

Uharibifu aliyoufanya Magu kwenye uchaguzi wa 2020 pia anaweza kuuelezea?
 
Sijui wazungu huwa wanatuchukuliaje, Yaani wako tayari kutuona tukianguka kila leo, Matumizi ya akili ni ukombozi.
 
Kila mtu alikuwa anajua kuwa Samia na Magufuli ni vitu viwili tofauti kabisa isipokuwa wewe, Magufuli na wapambe wake! Ndiyo mnagundua sasa? Tulipokuwa tunasema wanampaka mafuta kwa mgongo wa chupa mlidhani tuna chuki naye? Tulipokuwa tunasema wapinzani wake ni CCM na si kina Lissu alioamuru wauawe mlidhani tunakosea? Subiri dawa ikuingie. Bado utasikia na kuona mengi! Opss, si Magufuli alishaua upinzani jamani? Vipi tena?
 
atarudi zake Zanzibar ku enjoy ma pensheni marefu ya kodi za Tanganyika

Nyerere ndio katuletea hili nightmare la muungano na the Samia Suluhu's of the world
Ndiyo maana binafsi simpendi Nyerere hata kidogo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…