Hata nchi ikienda upinzani mnaweza msione tofauti!

Hii ni misleading, katiba haifuatwi sababu mahakama sio huru Ila kama Jaji hateuliwi na Rais and hawezi ondolewa na Rais obviously katiba ikivunjwa mahakama haitokubali. Mfano Kenya si unaona zaidi ya 70% ya kesi huwa serikali inaangushwa.

Kingine bunge la Sasa linamilikiwa na Rais yaani ana haki ya kulivunja ila katiba mpya italipa bunge uhuru maana hata akifukuzwa chama anabaki kama mgombea binafsi, na hata bunge likimpinga Rais Hana uwezo wa kulivunja n.k Sasa hapo unadhani kutakua na mtu muoga kukosoa?

Mahakamani na bunge vikiwa huru katiba itaheshimiwa tu utake usitake
 
Zile ndoto zako za Ndege kuanguka na Vitumbwi ya majini zimekurudia?
 
Ila ni bora kuliko kukaa na wale wake mlaka wanaota mizizi na wanafanya waoendavyo
Uzuri wa kuweza kuwatoa na kuwabadilisha ni kutii matakwa ya raia kuliko sasa
Tutakuwa na uwezo wa kuwawajibisha pindi tunapotaka
Bora chama chochote kishinde kuliko hawa jamaa kurudi
Hapo ndipo itakuwa mwanga wapi Tunataka kuelekea
 
Sahihi
 
Tupate mgombea binafsi
 

Tunapotaka katiba mpya ya wananchi ni ili kupata majibu ya haya mashaka yako.
 
Katiba si ndio itawapa meno? Kwanza umejifanya sijui vyombo vya usalama ndio dira ya nchi, sasa umepewa ukweli na mifano ya hao vyombo vya usalama kuwa ni bendera fuata upepo, kisha unasema hawajapewa meno!

Hebu kaa kimya maana unaoneka una uoga wa mabadiliko, ama unacheza mind game ili tuone kuwa ni sawa kuendelea kutawaliwa na CCM kwa shuruti.
 
Utakuwa mpumbavu kama unaamini Mkapa aliiibia nchi.
Niliposoma tu hapo nikaona ni hoja ya kisichana kinachojiuza mtaani.
 
Vyama vya siasa ni utapeli tena ni maslahi ya watu ,wanajipatia pesa kibao kupitia siasa .

Ewe kijana usiwe mjinga fanya kazi achana na ushabiki wa kisiasa.
Ili waendelee kutupiga vizuri sio?

Ila nyie wanasiasa mmetufanya watanzania vilaza sana!?
 
Ccm inafaa ivunjike tupate chama kingine Bora Hawa wapinzani saishie bungeni ikulu hawaiwezi Hawa!!
Wapambe wa iliyokuwa KANU ya Kenya walikuwa wanasema KANU tu ndio inaweza kuendesha Kenya. Leo hii KANU huko Kenya ni marehemu na kwa Kenya hawana vyama vya kudumu, mbona bado Kenya ina uchumi mkubwa kuliko wa Tanzania? Acha mawazo ya kizee yaliyofungwa na propaganda za CCM.
 
watanzania nyie kweli Vichwa ngumu... umesoma lkn hujaelewa still bado umevaa uchama tupu kasome kwenye katiba kazi ya usalama halafu urudi hapa some upya nilichoandika.
 
Ulilosema ndilo lililopo!
Kukaa na kuota kama Alinacha siyo proof kuwa itakuwa hivyo. BTW tunachataka ni fair competition. Tunataka kila chama kijui kuwa kikivunda uchaguzi unaofuata kitawekwa pembeni. Hii italeta mabadiliko kuliko ilivyo sasa kwa CCM kubweteka.
 
kimsingi mletamada ameteleza hapo ila sehemu kubwa yuko sawa,TISS kama sheria inavyowataka hawawezi kuwa waamuzi wa mwisho sababu ni washauri tu.hivyo kama boss ni maandazi kama aliyepo,na wao kama taasisi wanakosa nguzi sahihi.

fikiria unakwenda kumwambia huyu kwamba hawa DP ni vimeo wasipewe mkataba hakuelewi,unafanyaje zaidi ya kusubiri kuvikwa blanket la lawama kwamba hufanyi kazi!!!
Sasa kama hao TISS tu wanakubali Kila Rais aje na lake hata kama linakinzana na Rais aliyepita kivipi hoja ya kusema lazima "uendane na matakwa ya nchi"?
hawana namna.
Hao Marais Mafisadi kama JK au Mkapa je ni haki kupora Mali za Umma? Mbona TISS Bado waliwasaidia kuiba kura Ili hao Wezi wabaki madarakani?
hawana maamuzi ya mwisho.
Nikishaona mtu analeta habari za kwamba TISS ndio Ina suka siasa za nchi hii namuona mjinga tu kama hao uliowaita wajinga.
ni dhana ya ajabu isiyo na uhalisia.
Kama TISS ingekua na hizo sifa basi Kuna watu kama Chenge wasingemaliza hata miaka 2 wakiwa hai!!
imagine unakuja kujua hata chenge pia ni TISS.kumbe baada ya kushauri sana kama afisa mmoja wapo halafu hasikilizwi nayeye anaamua kuwa MBUZI na kula kwa urefu wa kamba yake.
 
watanzania nyie kweli Vichwa ngumu... umesoma lkn hujaelewa still bado umevaa uchama tupu kasome kwenye katiba kazi ya usalama halafu urudi hapa some upya nilichoandika.
Kwamba umeandika uandishi mgumu sana hadi hatuelewi?! Sema ulichoandika ndio ulichokuwa unakijua, lakini baada ya kuwa challenged unaanza kucheza na maneno ili kuendana na unachokiamini.

Sijui unataka nikasome nini kwenye katiba, ambayo tunaona wazi inafuatwa kwa utashi wa kiongozi aliye madarakani. Tanzania ni nchi special sana hadi unaona wakiingia wengine kwenye utawala ni majaribio, ila ikibaki CCM ndio sahihi! Nimekupa na mfano wa Kenya hapo, karibu kila uchaguzi wanakwenda na chama tofauti, na bado Kenya ina uchumi mzuri kuliko wetu. Sasa Tanzania ina maajabu gani, hadi kikiingia chama kingine iwe ndio hatari hadi uone ni majaribio?!
 
Kama unapata ugumu kuelewa uliza mi sijalembalemba ili kutetea hoja zangu kisa nimekuwa challenged!

Sijasema TZ ni special na wala sijasema upinzani usiingie nimesema kuhusu kuwepo system itakayokuwa inasimamia masirahi ya taifa hata akiingia nani.. na ndio maana mwishoni nikasema hata likae jiwe au boya nchi iongozeke!. Ukiambiwa soma na utafakari wewe wasoma bila kutafakari!.
Sina shida na mabadiriko ya chama ktk uongozi nina shida na ufuatwaji wa dira ya taifa.

Kwenye katiba imeeleza kuwa kazi ya usalama wa taifa ni kutafuta taarifa,kuichambua na kuishauli serikali nini chakufanya!..
Hivyo serikali ni kazi kwao kuamua kufuata ushauli wa usalama wa taifa au wasiufate na ndio hapo niliposema usalama hawana meno!.. kwa maana ipi hata wawe na taarifa kubwa na pana kiasi gani hawawezi kuilazimisha serikali ifuate ushauli wa usalama. Usalama hawana ruhusa ya kumkamta mhalifu hata kama wanataarifa zenye hakika ya kwamba ni muarifu na anastahili kukamatwa!. Napo mpaka waifate serikali ndo iamue! Hiyo process inaweza ikaingiwa na ulaghai na ndio maana nikaandika kuwa hawana meno!.
Kama napo utakuwa hujanielewa basi tutafute kalamu na karatasi tufundushane Sasa!.

Swala la Kenya kwenda na vyama tofauti litakuwa halina tija kama namba ya rasilimali zao haziwapi namba ya uchumi wao uwe wapi!!!.
Hatuangalii Kenya kamshinda Tanzania kiuchumi tunaangalia Kenya kutokana na rasilimali zake je anastahili kuwa hapo alipo,hiyo ndio mantiki... Kama Kuna nchi Zina rasilimali chache kuliko Kenya halafu Kenya ipo chini kiuchumi kuliko hiyo nchi huoni hilo ni tatizo hata kama wanabadili uongozi Kila siku...???
 
Mkuu nafikiri utakuwa umeona watu bado wanagap kubwa la information kuhusu nchi yao pia namna ya utafakari pia!...😂
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…