Hata siku 1 usimsaidie mtu kubeba mzigo Airport, wema utakuponza

Hata siku 1 usimsaidie mtu kubeba mzigo Airport, wema utakuponza

Wanigeria nyoko anadate na mtoto wa kifilipino au Malaysia then anamwambia tukatembee China au South Africa wanachukua visa na ticket ya ndege siku ya kuondoka jamaa anatafuta excuse ila anamwambia mpenzi tangulia atakupokea dada au kaka yangu, akipewa kibegi kina mzigo atangulie nacho akitoboa jamaa anakuja akidakwa jamaa anapotea, wamefanya hivyo sana nchi za Asia ndiyo maana Black tunachukiwa sana huko
Wanigeria wamezingua sehemu nyingi sana.
 
unaposafiri usilete kutaka kujuana,kuzoeana na watu
Kila mtu awe na mpango wake

Ova
 
Mimi sio airport hata nikipanda public transport iwe kivuko, daladala sijui mwendokasi sibebi kifurushi cha mtu hata mtoto .
Nikikuonea huruma kama una mtoto nasimama nakupisha ukae na mtoto wako
ww n mm kabisa, kuna siku nipo kwa daladala pisi moja ikaniomba nimshikie mkoba wake, nikamwambia njoo ukae mpenz tena kiroho safi kabisa, hakuamini masikio yake, akawa ananishangaa tu nimeshikilia bomba.
 
Back
Top Bottom