Hata siku 1 usimsaidie mtu kubeba mzigo Airport, wema utakuponza

Hata siku 1 usimsaidie mtu kubeba mzigo Airport, wema utakuponza

huu msimamo watu wanao zaidi ya miaka 30 ,
unapo safiri uwe boda au Airport no kumsaidia mtu kumbebea mzigo
Kuna movie moja ya 1980s I think
Inaitwa Bangkok hilton,ile movie
Ilipendwa sana na wale wasafiri
Iliwasanua sana

Ova
 
Mmoja ashukuru Kamera zilimuokoa. Pale bayun Guangzhou. Jamaa walimletea cm amsaidie kumpelekea ndugu zake bongo. Kumbe lile box la cm kuna mzigo wakamakata alikaa ndan miez minne mpaka wote wakapatikana ndio pona yake
 
Hatari sana
Nakumbuka nilishashushwa kwenye gari kwa sababu ya nguo niliyovaa ilifanana na mtu waliyekuwa wanamfatilia .
Mizigo yangu ilishashushwa wakaifungua wakawa wanashangaa wakawa wanamuuliza kondakta huyu jamaa hana mizigo mingine kondakta akawaambia hii ndio mizigo aliyopanda nayo.
Polisi wakaendelea kunishika huku wanawasiliana na wenzao huku basi inataka kuondoka liniache na wale askari.
Bahati nzuri wale askari wakataarifiwa target wao kashuka kituo cha nyuma .
Ndio wale askari wakaniacha.
Tukaja kuelewa kuna jamaa alishuka kituo cha nyuma alikuwa amevaa t-shirt ya blue kama niliyovaa mimi ndio walikuwa wanamfatilia
Na kondakta akasema mzigo ya yule jamaa alihisi amebeba bangi manake alikuwa na begi kubwa kwenye boot ya basi.
Konda akasema begi lilikuwa kubwa sana ila jepesi
Duh sasa bangi ndio ya kufautilia kiasi hicho ?
 
Kabisa mkuu watu wamekuwa sio kabisa .
Just imagine kuna jamaa namjua alitelekezewa mtoto kwenye daladala.
Alijifanya samaria kumpokea mdada mtoto, anataka kushuka hamuoni anauliza anaambiwa mbona alishuka kituo cha nyuma.
Ilibidi ampeleke Polisi .
Polisi wakamkataa wakamwambia ampeleke ustawi wa jamii
Hiyo ya mtoto unaweza fuata sheria ukalea tu , kuna familia rafiki na yetu ilishafanya hivyo sasa kijana ni rubani na mwaka jana kaoa
 
Mimi sio airport hata nikipanda public transport iwe kivuko, daladala sijui mwendokasi sibebi kifurushi cha mtu hata mtoto .
Nikikuonea huruma kama una mtoto nasimama nakupisha ukae na mtoto wako
Unaweza kubebeshwa bastola iliyotoka kufanya tukio ikakutwa kwako.
 
Hehe kuliko kutoa 200m si heri wangewasaidia famili ya mtuhumiwa tu ye wamwache huko ndani. Si sawa kabisa 200m ukalipe kwenye plea bargain unless uwe kweli umecommit a crime
Umuache ndugu yako afungwe sababu ya hela? Kama hela ipo mnamkomboa tu
 
Haha, Ikitokea nahitaji milioni 200 kwa msala kama huu nafikiri ndugu jamaa na marafiki masnitchi watasema ninyongwe tu🐼
Umenikumbusha kuna jamaa alizingua na msala ukihitaji laki 3 tu uishe,, ndugu zake wote walisema kama anafungwa afungwe,, lakini si kwamba walikosa bali jamaa sio mtu wa kuhangaika na ishu za kwao
 
Mambo ya S.N Ndunguru hayo ndani ya "A Wreath For Fr Mayer"
 
True kabisa kuna jamaa yetu alikaa lupango kwa kubeba mzigo wenye madawa huko airpot. Hiyo kesi imetukosti zaidi ya 200m na mwaka jana ndio kaachiwa.
Basi huyo mzigo ulikuwa wa kwake na ndiyo maana mkawa na hela chafu ya kulipa! 200m ili akirudi afanye nini cha ziada?
 
Simple tu, nikikamatwa nasema huu mzigo wa fulani na kama hamuamini twendeni kwake.
Naachiwa naendelea na maisha yangu
Unafikri ni kirahisi hivyo? Kuna jamaa miaka miwili iliyopita katumiwa mzigo kutoka kijijini kwamba mwenye nao atakuja kuuchukua hapo stendi yeye ni agent wa Mabus! Kumbe mle kwenye mzigo kumefungashwa Kobe wadogowadogo Mhindi sijui alikuwa na kazi gani na hao kobe. Mzigo umefika ameupokea si mali zinaanza kupapalika mle ndani ya box kukaguliwa na polisi zinakuwa nyara za serikali, duh dogo alisota ndani miaka na michango imetembea siyo kidogo. Mwenye mzigo hakuwahi kutokea hata siku 1!
 
Back
Top Bottom