Hata siku 1 usimsaidie mtu kubeba mzigo Airport, wema utakuponza

Really? Ungekuwa NI wewe ndo umempa mtu mzigo (full package of cocaine Kama kilo 8)abebe ghafla unaona anakuja na polis na maofisa WA kutosha then anakwambia "NI huyu ndo mwenye mzigo Mimi nilimsaidia kubeba"

Ungekubali ukweli ?
Thubutu siwezi na kwanza namkana hadharani
 
Hehe kuliko kutoa 200m si heri wangewasaidia famili ya mtuhumiwa tu ye wamwache huko ndani. Si sawa kabisa 200m ukalipe kwenye plea bargain unless uwe kweli umecommit a crime
Daah, unawaza kwa kutumia nini mkuu
 
Mimi sio airport hata nikipanda public transport iwe kivuko, daladala sijui mwendokasi sibebi kifurushi cha mtu hata mtoto .
Nikikuonea huruma kama una mtoto nasimama nakupisha ukae na mtoto wako
Kama kuna wale wa kwenye mabasi wakipanda na mirungi, bangi zao kwenye mabegi wanayaweka kwenye carier huko nyumaaa afu wao wanakaa sit za mbeleee ili kinavonuka yeye huyoo anahepa anajifanya hajui lolote
 
Hatari sana
Nakumbuka nilishashushwa kwenye gari kwa sababu ya nguo niliyovaa ilifanana na mtu waliyekuwa wanamfatilia .
Mizigo yangu ilishashushwa wakaifungua wakawa wanashangaa wakawa wanamuuliza kondakta huyu jamaa hana mizigo mingine kondakta akawaambia hii ndio mizigo aliyopanda nayo.
Polisi wakaendelea kunishika huku wanawasiliana na wenzao huku basi inataka kuondoka liniache na wale askari.
Bahati nzuri wale askari wakataarifiwa target wao kashuka kituo cha nyuma .
Ndio wale askari wakaniacha.
Tukaja kuelewa kuna jamaa alishuka kituo cha nyuma alikuwa amevaa t-shirt ya blue kama niliyovaa mimi ndio walikuwa wanamfatilia
Na kondakta akasema mzigo ya yule jamaa alihisi amebeba bangi manake alikuwa na begi kubwa kwenye boot ya basi.
Konda akasema begi lilikuwa kubwa sana ila jepesi
 
Siku hizi wanabeba kidogo kidogo sana kwenye hizi bag za mgongoni wanazikunjia kwenye nguo
 
Back
Top Bottom