Hata siku 1 usimsaidie mtu kubeba mzigo Airport, wema utakuponza

Wanigeria wamezingua sehemu nyingi sana.
 
unaposafiri usilete kutaka kujuana,kuzoeana na watu
Kila mtu awe na mpango wake

Ova
 
Mimi sio airport hata nikipanda public transport iwe kivuko, daladala sijui mwendokasi sibebi kifurushi cha mtu hata mtoto .
Nikikuonea huruma kama una mtoto nasimama nakupisha ukae na mtoto wako
ww n mm kabisa, kuna siku nipo kwa daladala pisi moja ikaniomba nimshikie mkoba wake, nikamwambia njoo ukae mpenz tena kiroho safi kabisa, hakuamini masikio yake, akawa ananishangaa tu nimeshikilia bomba.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…