Pre GE2025 Hata Tundu Lissu naye huwa anadanganya!

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Tangulia mahakamani atakuja na ushahidi
 
Kama anasema uongo dhidi ya ‘Abduli’, CCM watakuwa majuha wakimwacha aendelee kupeta bila ya kum challenge [kisiasa, of course]
Ni vizuri kwamba umesema "Kama anasema uongo...," maana yake ni kwamba hata wewe hujui kama ni uongo au siyo uongo.
Kwa uapande wako, hapa ni wazi wewe ni "mwongo" kwa kuzungumzia mambo ambayo hujui ukweli wake, na kama ulivyodai kwa Lissu, hujaleta uthibitisho wowote kuhusu madai yako ya Lissu kusema uongo.
 
Kwani rushwa lazima iwe pesa? Inawezekana ilikuwa ahadi ya kulipwa madai yake ya tiba au hata cheo.

Amandla....
Kama ni ahadi ya kulipwa madai yake ya tiba [ambayo Lisu anadai ni halali na haki yake], kwa nini hiyo iwe rushwa?
 
Unataka aseme kama unavyotaka wewe?
 
 

Attachments

  • 1717942220327.png
    1.9 MB · Views: 2
Hivi Nyani Ngabu Bageshi na Wewe unamsagia Kunguni Lissu wakati chama chako UDP kipo Shimoni kinaelekea kuzimu?
 
Nadhani akipandwa na midadi ndo huwa anaongea chochote tu ili mradi apigiwe makofi.

Huyo ‘Abduli’ atakuwa juha kiasi gani mpaka aende nyumbani kwa Lisu kumpa rushwa?
Abdul anaonekana hana chawa kama GSM,ana kwenda front mwenyewe,Jeshi la Mtu mmoja! Mzigo kapeleka mwenyewe bila chawa,maana kama chawa wangekuwepo,ange wataja kama mashahidi walio shuhudia tukio!!
 
Pia aliwahi kusema mara nyingi kuwa siku anapigwa risasi Magufuli alikuwa amehutubia masaa machache kabla kuwa yeye Lisu kama msaliti alistahili kuuawa.
Magufuli siku hiyo hakusema maneno ya aina hiyo.
Lakini kuna siku kabla yake aliwahi kusema maneno ya aina hiyo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…