PostGE2025 Hata waliokufa leo walikiona kifo kana kwamba kiko mbaali sana, kisa wewe ni kiongozi unakuwa na Kiburi?

PostGE2025 Hata waliokufa leo walikiona kifo kana kwamba kiko mbaali sana, kisa wewe ni kiongozi unakuwa na Kiburi?

Conversations and stories after Tanzania's 2025 General Elections

mkulimamiwa

JF-Expert Member
Joined
Mar 4, 2025
Posts
2,591
Reaction score
5,315
Kiburi cha wanadamu chatoka wapi?

Kwa sababu wewe una cheo fulani na vile unapojiangalia unaona umezungukwa na ulinzi mkali, umezungukwa na kila aina ya silaha ndio sababu ya kuwadhihaki waliokufa leo na wewe kujiona u salama kushinda wao?

Unaowadhihaki hao, nao walikiona kifo ni kana kwamba kiko mbaali sana

Tujishusheni na tumwogope MUNGU

Siku zetu zenyewe hatuzijui na saa ya kujiliwa kwetu pia hatujuwi

Tutendeni haki wala hatutapungukiwa
 
Back
Top Bottom