Hataki kunipa talaka

Mpe kiburi halafu baada ya talaka akose mwelekeo wa maisha huanze kumcheka mbn ulishindwa kuvumiliaa


hahahha tatzo hamjasoma toka mwanzo nilichomshauri welewa wamenielewa sipo haoa kumharibia ht sk 1
 
Mpe kiburi halafu baada ya talaka akose mwelekeo wa maisha huanze kumcheka mbn ulishindwa kuvumiliaa
Afadhali Mumwambie nyie Wanawake wenzie Maake huyu ni Nyoka tena Mwanamke ambaye akija kwako ukimshirikisha Ndoto zako ndiyo anazirudisha nyuma.. She is very dangerous friend
 
hahahha tatzo hamjasoma toka mwanzo nilichomshauri welewa wamenielewa sipo haoa kumharibia ht sk 1
Unajua sababu inayomhitaji mtu kwenda kwenye Dawati la Jinsia? Wewe Utakuwa ni Polisi usiyejiamini katika kutatua matatizo yako bila kwenda kuyatangaza nje.. Just Chatting cant believe
 
Baada ya kuchat wataenda guest,na baada ya guest kaa ukifahamu hakuna popote atakapompeleka kama we ndo mke angalia2 nyendo zao ila kuwa MAKINI halaf kwan we huna wa kuchat nao ucwafatilie sana hawa viumbe Shoga utakufa presha.Na ww chat halaf uone atakavyokuja juu pumbaf zake
 
Achana Na Talaka.Tulia ndoani wewe.Ndo mana hataki kukupa Talaka mana Anaona vitu vya ajabu.Kuchat tu, Mbona kwa Wanaume ni vitu vya kawaida?? Je ungewafumania live .Si ungejinyongaaaaaaaaaa?tulia wewe.
 
Sisi wa zamani. ..mafunzo ya jando na unyago yalitusaidia sana!kizazi hiki cha kitchen party....hakina uvumilivu!kinaropoka sana.....mambo ya chumbani yanawekwa hadharani!hivi kwa upeo wako....unadhani utapata ushauri humu?huna wazazi?wasimamizi wa ndoa?watu wazima ambao unawaanimi wanaweza kusaidia?
 
HUYU MRS AIR HANA UANAKE UTAKUTA HATA NDOA HAIJUI SHE HOPELESS YAANI .. ATI KUPIGWA ATI MIMI SIJAPIGWA.. DONT PUT YOUR LIFE STYLE TO SOMEONE LIFE.. KWA HIYO UNAPENDA AKIMBILIE HUKO.. HAJAFIKIRIA MTOTO, HAJA FIKIRIA LEGACY YA MIAKASABA
Huyu naona a nataka kumharibia ndoa hana ushauri na huwez jua labd mwanaume nae katafuta mchepuko baada ya mke kubadilika maan hajaoenesha sababu zaid ya kujionesha anaonewa tu
 
Chat tu unataka talaka,bora upewe hiyo talaka uondoke akatafute mwanamke aliekua kiakili na mwili.
 


sipo hapa kupata crdt kwa mtu mkuu,yoote nuimemweleZa toka juu aachane na nkumfatilia mumew,afanye yake itamfanya awe busy na maisha yake,ila Nimemkatalia asikubali kupigwa ,kwann umpige mwanamke anaekupikia chakula???/huoni huo ni uuaji kbs??kwann asimpe adhab ambazo ni positive?/au nww huzijui?/yaan ww suluhisho lako la mwisho umpige mkeo itakusaidia nn sasa??
hakuna kitu nambacho sipend km mtu anipige aic thts y nimereact,pole sn kukukwaza asbh hii...am alwys POSITIVE
 
Acha kazi uone kazi kupata kazi ....most ya wanawake Leo hii wanataman ndoa wanaisikia tuuuu ,, alafu we ndo unataka kutoka ???soon sad ,, kwanza ushukuru umekuta wanachati tu ,napia nisuala lakuzungumza wala usiwe najaziba kiasi iko!!.. Ngoja nikusaidie ushauri wa kisaikolojia alafu ufanye ivo ivo ,,/atabadilika mwenyewe...

Kwanza tambua we nimwanamke mwenye bahati sana ,mzuri na mwenye sifa za kua mke wamtu ndo maana jamaa alikuchagua miongon mwa maelefu ya wanawake !!. So tambua jamaa anakupenda sana kuliko michepuko .

Wewe sasa mtese kisaikolojia ,, hili ndo huwa teso linalowaumiza wanaume nawenda ukashangaa unamkuta kwa wazazi ameenda wamsaidie kutatua tatizo .

Chakufanya ,, wee kua kimya yaan kua kimya jifanye hujui kitu jifanye mjinga yaan jifanye kama hujamfuma ,,, alafu wee endelea na kazi zako za nyumban as usual ,, mpikie ,,maji yakuoga mtengee ,,mnyooshe nguo zake yaan huduma zote unazomfanyia wee mfanyie kimya kimya yaan bila hata kumsemesha ,,, yaan namanisha hata kumfungulia geti we wahi kumfungulia lakini piga kimya kimya .
Alafu suala LA tendo la ndoa we mnyime jikausheeee jikausheee Kabisaa yaan hata kama unaogopa maybe atafanya nje weee mkaushie usimpe kitu Kabisaa .... Fanya hayo wiki moja tu utanipa majibu !!.

Kichwan mwake atakua na maswali Mengi sana ,,mfano ,, "huyu mwanamke mbona amekua ivi?? Kwann anijali sana lakin haongei?? Nijambo gan kapanga kunifanyia??? Ivi inamaana hajisikii hamu ya mapenzi ?? Au Mimi ndo saivi simridhishi ?? Au kapata bwana ??? Mmhhh tukio gan anataka kunifanyia ??? Na maswali Mengi ,,, matokeo yake kwakua anakupenda sana atazidi kuwaza ata akienda kwa mchepuko bado anakuwaza mwisho wa siku uume unashindwa kusimama mbele yamchepuko ,,mchepuko anamdharau ,nakwakujishitukia yeye mwenyewe atahisi kadharaulika kwa mchepuko wake ,,matokeo yake wimbo utafuata
,,,"" naruuuuuuuuuuudi ,,nyimbaaaaaaaaaaaaaani ,, daiiiiiiiima kwakoooooooooooooo,,,
Kwaaaaaaupendooooooo niiiiiiiiiipoke najaaaa nyumbaaaaaaaaàani!!!!.

Alafu byzeway acha kua na akiki as if u a an ordinary school girl ,, ndoa nindoa ndoa inamisuko misuko kutengana kwenu kutasababisha mambo magumu namaisha yatabu kwa MTOTO wenu either alelewe na mwanamke mwingine au alelewe na mwanaume mwingine ...

Mbafu sana ,,nyote wawili mnasitahili viboko tuuuuu.
 
Mrs Air umeniharibia ibada yangu, Yaani Umenifanya nikatubu kukufikiria Vibaya sana na kukuona hufai kuwa na Ndoa yoyote katika Jamii..

Unawezaje kumshauri Mtu mwenye uhitaji wa Ushauri Ushauri huo kama Mwanamke anayejitambua? Aisee hii dhambi ulinichumia leo Najuta hata kusoma huu Uzi....Sijawahi hata siku Moja kukurupuka kusema neno kwa mtu aliye na Tatizo zaidi ya kumtuliza kwanza ili nijue zaidi.. Acha nijiandae niende Church
 
Acha utoto na ujinga wewe!?
 
Nina ushahidi wa kutosha, nimempigia mwanamke amekiri.
Acha utoto bana ,,, ivi unategemea iyo demu angekujibu nini wakati nayeye ndo wakati wakutumia fursa ??? Muhimu naww ungemjibu ,, " simuachi mume Wangu ng'oooo" ngoja aendelee kukutumia
 
Nimevumilia mengi, ila nahisi anachukulia uvumilivu wangu for granted, nimechoka
Uschoke ,,, kuna wakati utakapotoka utataman kwann usingetoka !!. Solong as akupigi au ahatarishi maisha yako moja kwamoja,, tafuta sulisho .
 


There u r,na mm ndo nilichomwambia nkule mwanzon kbsssaaaaaa ajipende afanye kazi nzoote mwenyewe atajirud,ila nimemwambia nakatae kupigwa ,kukataa kuna maanisha meng mtishie hata kumpeleka police,kwann upigwe lakini??eishnmm sitakmkbs nkupigwa aic
cc;AKILI UNAZO
 
Huyu binti kenge tu.....
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…