Wanawake kama nyie mnalaza wanaume zenu ndani hamfai hata kidogo.upo tayari hata kumuua wewe. Roho gani mbaya namna hii kama huwezi si muachane kila mtu aishi maisha yake.hapo ndo kosa lako kuu ulipomwachia akuchape hebu amka mwanamke mwenangu mbn dawat la jinsia lipo,mlaze ndan sku moja atie akili
Post kama hizi ndo zinafanya makampuni ya simu yaongeze bei ya bando. Sasa umemkuta mumeo anachat unakuja kumuanzishia thread jukwaan. Je ungemkuta yuko juu ya kifua? Kuna wanawake wamechoka ndoa sasa huwa wanatafuta visababu vya kuokoteza ili waachane na waume zao.
Wanawake kama nyie mnalaza wanaume zenu ndani hamfai hata kidogo.upo tayari hata kumuua wewe. Roho gani mbaya namna hii kama huwezi si muachane kila mtu aishi maisha yake.
amekiri kufanyeje?Nina ushahidi wa kutosha, nimempigia mwanamke amekiri.
Hapana wala hawana roho mbaya.Hiyo njia imeonekana kufanya kazi hususan kwa wanaume wenye mazoea ya kuwapiga wake zao.Wanawake kama nyie mnalaza wanaume zenu ndani hamfai hata kidogo.upo tayari hata kumuua wewe. Roho gani mbaya namna hii kama huwezi si muachane kila mtu aishi maisha yake.
Maisha uvumilivu, usije ukahama nchi kisa mvua inanyesha. Duniani kote mvua inanyesha.usiseme hvyo sooth,kila mtu anauwezo wa aina yake kuhimili mambo,usimkebehi aic
Amlaze mumewe ndani? As in ampeleke ndani akalale usiku mzima?hapo ndo kosa lako kuu ulipomwachia akuchape hebu amka mwanamke mwenangu mbn dawat la jinsia lipo,mlaze ndan sku moja atie akili
Hapana wala hawana roho mbaya.Hiyo njia imeonekana kufanya kazi hususan kwa wanaume wenye mazoea ya kuwapiga wake zao.
Du mkuu naona umemuwahi bhanaDuu polesana ngoja wajuzi waje..Cc joseverest
Mi ukishaniweka ndani hapo hamna ndoa tena.huko ndani ya nyumba tutaishije na mtu ambaye ameshaniweka lock up?[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji125] [emoji125]Hapana wala hawana roho mbaya.Hiyo njia imeonekana kufanya kazi hususan kwa wanaume wenye mazoea ya kuwapiga wake zao.
Don't panic, Mr air umemuweka ndani mara ngapi mkuu.[emoji12]wala sijaenda ht huko pm,nenda ww mkuu
[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1][emoji2] [emoji2] mama klaree maisha yandoa hayapo hivyo mama
[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1]Umefanya maamuzi sahihi utakufa na stress kukaa na jitu malaya kwenye nyumba mahakama inatoa talaka kwa ndoa halali ikiwa ni kwa sababu ya uasherati, matatizo ya akili n.k nakushauri ufuate utaratibu wa kisheria ukaishi maisha yako yenye furaha tele hilo ni pepo limekukosea alafu linakununia wakati kuna watu wanamwomba Mungu awaonyeshe wake, shenzi.