Hataki kupima lakini anadai bado ananipenda

Hili ni swali lingine tena once a cheater will always be a cheater
 
Lakini wanaume kwanini ni wagumu kukubali kupima?

Kupima ni uamuzi wa mtu binafsi, nimekaa miaka 4 bila ya kupima na mechi nilizokua napiga ni hatari. Lakini leo asubui nikaona bora nipime na namshukuru Mungu majibu ni (-ve).
Kaa nae chini mueleweshe labda atakubali.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…