Hataki kupima lakini anadai bado ananipenda

Hembu tuangalieni hoja ni kuwa ukicheat basi mwambie mpenzi/mke wako ukweli na mkapime kabla ya kuparamiana
 
Huo sasa ni wizi.si umwambie aache kukuhudumia.kuna siku utazitapika hizo fadhira.Huo sio ujanja hata kidogo.mpaka upigwe uchizi ndiyo utatia akili we endelea kula vya wahenga
 
"Lakin bado anadai ananipenda" we umpendi hadi mkapime uzito ama nn

once beaten, twice shy.
 
mimi naona huyo hakupendi bali anajipenda
 
We unampenda?
 
Sky Eclat ameolewa mda sana huyu, stories zake nyingi ni fiction, analeta ujumbe kwa namna fulani tu. Huwa nacheki threads zake za mda, kama angekuwa anaandika ukweli ingekuwa ana 48yrs huko, but she's just a young lady, hafiki hata 30yrs.
 
Hata mimi nimemuelewa ujumbe wake kwa wanaume huu apa[emoji116]
Lakini wanaume kwanini ni wagumu kukubali kupima?
 
Hata mimi nimemuelewa ujumbe wake kwa wanaume huu apa[emoji116]
Mwanzo alikuwa akinichanganya sana, nikaja kuona anatumia "Kwamtogole" wakati she's very updated kwenye fashion design, vyakula vya kizungu, mmmh sijui zile quality perfumes na deodorant nikajisemea wa kwamtogole hawajui haya mambo.
 
Hahaa kumbe kwamtogole ya wazungu
 
Jamanii.....
 
Sky Eclat hebu njoo unisafishe...
 
Kimbia bila kugeuka nyuma....

Ukigeuka tu utakuwa jiwe la chumvi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…