Hatari! Majasusi wengi wa Rwanda wanawekeza Kagera, Geita na Kahama mkoani Shinyanga

Namuona Kagame kama Putin wa EAC . Atatusurubu muda si mrefu
Kutusurubu hawawezi.mkuu..watu wenyewe hata nusu yetu hawafiki...idadi ya watu ote kwenye nchiyao sawa na idadi ya mgambo wetu tu...mwendo wa saa2 tu.zinawatosha.kuwafuta kabisa .halafu tunaipa rwanda kama mkoa wetu wa kitalii....

Hahahahahahahahahahahahahahaha.......
 
Unajua ya kwamba Rwanda ndiyo nchi yemye solaha za nyukilia EAC?
 
Nadhani Tanzania ndio ina mfumo mbaya sana katika nyanja ya kuingia na kutoka. Ni rahisi sana kwa Mkenya, Mganda, Mrwanda nakadhalika kuingia Tanzania na kuishi bila bughudha yoyote ile kama tu anajua kuongea kiswahili. Wakati huo huo ni ngumu sana kwa Mtanzania kuishi Kenya, Uganda nakadhalika bila bughudha ata kama hizo nchi zinatumia lugha ya Kiswahili na wewe unatambua kuzungumza Kiswahili tena kwa ufasaha.
 
Ulichokisema ni kweli nitaanzisha uzi kuelezea zaidi ya hapo
 
Unajua ya kwamba Rwanda ndiyo nchi yemye solaha za nyukilia EAC?
Africa hakuna nchi yenye vigezo vya kurutubisha nyukilia kama kwenye siraha na hata mambo mengine...
Rudi.ukasome ule mkataba wa IAEA...

Labda siraha.za sumu..
Tungekua tumetimuza vigezo.tusingekua tunahangaika na umeme wa maji...tangu uhuru hadi.leo hata.1400.MW hatuna.
 
Kwann usichangie na utake kuanzisha Uzi?

Niseme tu ukweli hii nchi kwenye Intelejensia hakuna wa kuifikia AFRIKA MASHARIKI. Itoshe kusema hivyo.
Mwenda zake alitaka kujiingiza kichwakichwa...baada ya kelele za aina hii baadae akaelewa.....
 
Haaaa haaaa nakumbuka slim almtisha msoga kumpa za uso ,msoga akaka chimbo kwa muda then kaibuja na kichapo kwa m23
 
Acha uchonganishi wa ki local. Tena my wishes tuwe na free pasi kwa EAC
 
Mgeresi bhana..
 
Tanzania tuna shida wahutu na watusi wakitoka kwao kuishi Tanzania wanaendeleza vita zao za ukabila kwenye Ardhi ya Tanzania badala ya kutulia waendelee na maisha yao kama kawaida

Mleta mada atakuwa mhutu anaowatuhumu watakuwa watusi sababu ya muonekano wa miili yao

Sio vizuri .Wahutu na watusi wa Rwanda na Burundi mkifika Tanzania mavita yenu ya kikabila yaacheni huko huko kwenu.Fanyeni biashara tafuteni maisha basi ukabila tupeni mpakani mnapoingia Tanzania
 
So maana yake ulinzi wetu mipakani ni dhaifu, sioni ubaya mkitoa taarifa kwa mamlaka husika ili hao wavamizi wakamatwe na kuchukuliwa hatua stahiki.
Ieleweke kama kweli wapo majasusi wa Kutoka Nchi jirani ambao wapo kwa lengo maalum walilotumwa kulifanyia kazi basi ni lazima watakuwa wameingia kihalali kabisa na wanaishi na kufanya kazi zao zinazoonekana kihalali kabisa (undercover) hapo sasa ndio umahiri wa Taasisi zetu unapohitajika kung'amua kinachoendelea before it's too late !! Kazi hizo huwa zinahitaji watu wenye akili kubwa sana !! Tuwe macho !!
 
Ni kweli kabisa !!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…