Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Afrika tuna shida mwekazaji tunayemtambua sana ni mzungu hata kama lofa waafrika hatutambuani kama wawekezaji very sad
Tanzania sio masikini ila watu wake ndio masikini !! Ukiniuliza kwanini ? Nitajibu hata Mimi sijui ! (Kama alivyojibu mstaafu mmoja wa zamani) !!Mleta mada umenikumbusha mambo ya vijijini
Watu kutuhumiana uchawi kuwa huyu anamloga huyu wakati wote maskini wa kutupwa !! Kuwa hasa wanalogana kwa lipi maskini wakubwa wa kutupwa
Rwanda ni nchi maskini na Tanzania nchi maskini
Maskini kwa maskini wanatuhumiana kufanyiana ujasusi aiseeeee!!
Afrika tuna safari ndefu
Bahima Empire !! ??Marehemu Mtikila aliwai kusema wanyarwanda wamo mpaka Ikulu ya Magogoni.
Ipo siku Bahima Empire itashika hatamu kama ilivyokusudiwa.
Mkuu PK anaweza kuanza na Wewe as individual. Hashindwu yule jamaa. Pesa zote za wafadhili amewekeza kuwasaka maadui zake dunia nzimaRwanda, hasa Kagame anaiogopa Tanzania kuliko kitu chochote kile maisha yake yote, sbb anajua tulichomfanya enzi za JK, na akijaribu tena, we must have his thin legs and ass up 4 good..!! Bahati nzuri sana PK anatujua sana, ujinga wake atafanya hapo mashariki ya DRC tu.
Sasa UVCCM wana uwezo wa kufanya uchunguzi kwa jambo lolote?Haya madai yako umeyathibitisha vipi?
Sijui kama wale UVCCM waliojaa TISS wanaweza kuyafanyia uchunguzi wowote wa maana.
Bahima iko very commited. Zamani nilijua ni consipracy lakini naanza kuona ukweli kutokana na harakati zao. EAC iko hatariniMarehemu Mtikila aliwai kusema wanyarwanda wamo mpaka Ikulu ya Magogoni.
Ipo siku Bahima Empire itashika hatamu kama ilivyokusudiwa.
🤣🤣🤣hapo sasaSasa UVCCM wana uwezo wa kufanya uchunguzi kwa jambo lolote?
Inasemekana Hao watu sio wa mchezo wakitaka jambo lao !Inanishtua tu kwasababu Gen James Kabarebe aliwahi kupensya DRC mpaka kuwa mkuu wa majeshi wa nchi hiyo.
Kwa Rwanda wakiwa vizuri kwa uzalendo wao wanaweza kuiteka hata Afrika. You know what??
Rwanda na Burundi wanazaana mno,nchi zao na rasilimali ni ndogo.Mimi nilishangaa walipotaka kuwapa mkoa wao wa Chato. Hii nchi siku hizi hatupo siriasi.
Shida nini wakishika?Marehemu Mtikila aliwai kusema wanyarwanda wamo mpaka Ikulu ya Magogoni.
Ipo siku Bahima Empire itashika hatamu kama ilivyokusudiwa.
Wanaweza ila WATAJITAHIDI kupindisha ili ionekane ni njama za CHADEMA.Haya madai yako umeyathibitisha vipi?
Sijui kama wale UVCCM waliojaa TISS wanaweza kuyafanyia uchunguzi wowote wa maana.
Na nyie mwende mkawekeze Rwanda.wote tuko jumuiya moja na mikataba mmeingia.Hii ni hatari mno kwa usalama wa nchi yetu!
Majasusi wengi wa Rwanda wanawekeza kwenye nyanja mbalimbali kuanzia kilimo,viwanda na biashara mbalimbali kwenye maeneo niliyoyataja hapo.
Ifahamike, sera na wanahistoria wa Rwanda wanatambua eneo lote kuanzia Kagera, Kigoma, Geita na hata Kahama kuishia pale Isaka ni eneo waliloporwa na hayati Mwalimu Nyerere jambo ambalo si la kweli.
Vyombo vya dola vya Tanzania yetu shtukeni-Rwanda si rafiki mwema hata kidogo!
Hata sasa vita anavyovifadhili huko mashariki ya Congo ni kwa sababu ya tamaa ya eneo lile ili wajitanue na wanyakue Kivu belt yote kwa maslahi ya madini.
Tanzania itambue Rwanda haipaswi kuchekewa hata kidogo
Whaat? Wakati Ruanda-Urundi ilikuwa sehemu ya utawala wa Tippu Tip, sasa huyo Nyerere alikuwepo kweli wakati wa kugawana kontinent la Afrika?Ifahamike, sera na wanahistoria wa Rwanda wanatambua eneo lote kuanzia Kagera, Kigoma, Geita na hata Kahama kuishia pale Isaka ni eneo waliloporwa na hayati Mwalimu Nyerere jambo ambalo si la kweli.